Mom alinifundisha kusali kabla na baada ya kula na kabla na baada ya kuamka....
Ndio Urithi pekee ninao ukumbuka kwake
Hatukuishi nae muda mrefu walitengana na baba tukiwa wadogo hatujaanza shule
So tukaishi na Mama mlezi
Dah...Mama alifariki ila still naliona tabasamu lake...pia na kumbuka alivyokua Ana litamka jina langu.