Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

Daah noma sana hiyooo...
 
Nina rafiki yangu alinidanganya kuwa aliwahi kushika mimba ila alipata miscarriage wakati mie najua kuwa alifanya abortion ila hajui kama najua
Mic u mnooo, nkajua uko nje ya JF kumbe upo bhana. [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Kwamba wauza supu wanadhani hatujui kuwa Ile Miko ni mikono ya watu na viti ni migongo ya watu tunakalia na supu kabla ya kuileta sokon lazima wachambie ule utoko wa asubuhi kabla hajaoga papuchi.🙄 Lakini tunakula tu maisha yanaenda😠
Usijali, dawa ya ukimwi tu hiyo ndo maana huugui hadi leo
 
Ile nimeambiwa nikamuite sister tupate msosi wa jioni mi nikachungulia kwanza chumbani si nikakuta amepanua anainyoa. Nikarudi kinyumenyume halafu kwa mbali nikaita....akaitika...ondoka rudi kwa mama nakuja.
🤣🤣
 
Kikubwa tushibe
Kabisa!
Na nakwambia, kwa jinsi tunavyorogwa kwa kulishwalishwa vitu vya ajabu, tungelikuwa tuna hali mbaya sana ya kiafya.......kuanzia akili hadi mwili.
Najipa imani kuwa hawa wachawi huwa wanatutibu baadhi ya magonjwa bila wenyewe kujua;
Anakuja usiku kuuchambia mchuzi uliobakisha akiamini anakukomoa, kumbe amekupatia dawa ya tb bila kujua (maana pengine ndo dawa yenyewe).
Anakuja kukutolea mashuzi mdomoni usiku kucha akiamini anakudhuru, kumbe bila kutarajia anakupatia dawa ya tezi dume ugonjwa ambao ilibidi ukuanze siku chache tu zijazo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
***** ningekua mimi nilivo chizi nisingeacha hilo lipite hivi hivi maana kama unavodai alikua mkuda huyo uncle.

Ila me hali ya uncle wako niliipitia Mungu anisamee
 
Inaweza tokeo. Unaweza kuwekewa hata sumu ukapita kule halafu wakaoana. Wanawake siyo wazuri
Mm nishakula wake za watu watatu
Wake za watu kutoa papuchi siyo kazi ngumu. Unaweza ukamwambia naomba papuchi nimezidiwa mwenzio. Akakupa kwa kukuhurumia. Nawajua sana
Mke wangu yupo na kiboifrend chake wanadanganyana kuwa wataoana huko. 😁😁
 
Alikuja mkuu ama??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…