Kitu gani unatamani ukifute maishani moja kwa moja?

Kitu gani unatamani ukifute maishani moja kwa moja?

monta

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2014
Posts
1,271
Reaction score
1,803
Wakuu kwenye haya maisha kuna vitu vingi unavyotamani visiwepo kabisa kwa namna moja au nyingine.

Kwangu mimi natamani nifute magonjwa,umaskini,ajali yani visiwepo kabisa kwenye uso wa dunia.🤭

Je,ni kitu/vitu gani unatamani ukifute kwenye haya maisha kisiwepo moja kwa moja?
 
Kifo kilimchukua yule malaika Angel Frank kila nikilala naona taswira yake kwenye mboni zangu, huzuni inaniingia, nakosa cha kufanya.

I fuckin miss her, I wish I had a death Cure.
 
Kifo kilimchukua yule malaika Angel Frank kila nikilala naona taswira yake kwenye mboni zangu, huzuni inaniingia, nakosa cha kufanya.

I fuckin miss her, I wish I had a death Cure.
Pole boss,was she your woman?
 
Kuna mtu mmoja natamanigi afutike km vile maandishi ya penseli lkn sasa uwiiiiiii.
 
Back
Top Bottom