Kitu gani unatamani ukifute maishani moja kwa moja?

Kitu gani unatamani ukifute maishani moja kwa moja?

Wakuu kwenye haya maisha kuna vitu vingi unavyotamani visiwepo kabisa kwa namna moja au nyingine.

Kwangu mimi natamani nifute magonjwa,umaskini,ajali yani visiwepo kabisa kwenye uso wa dunia.🤭

Je,ni kitu/vitu gani unatamani ukifute kwenye haya maisha kisiwepo moja kwa moja?
Natamani niifute Yanga!
 
Back
Top Bottom