kitu gani?

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Ni kitu gani unaweza mpatia mwanamke kiroho safi na roho isikuume kwa ulichotoa?

Binafsi kitu ambacho naweza mpa mwanamke na kisiniume wala kujilaumu ni MIMBA pekee

vp upande wako?
 
Ni kitu gani unaweza mpatia mwanamke kiroho safi na roho isikuume kwa ulichotoa?

Binafsi kitu ambacho naweza mpa mwanamke na kisiniume wala kujilaumu ni MIMBA pekee

vp upande wako?
Hiyo mimba wee uliitoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…