Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Huawei wanakuja na surprise package kwenye upande wa semiconductor kwa kuja na mashine yao ya EUV.
Hii kitu inaenda kuua monopoly ya ASML na TSMC. Taiwan, Netherlands na U.S.A wanaenda kupata upinzani mpya.
Inaweza kuwa mwaka huu 2025 au mwakani 2026 Huawei wakawa katika hatua za mwisho mwisho za ukamilishaji wa EUV
Deepseek moment inaweza kwenda kutokea katika makampuni ya chips ya magharibi
Sina shaka na Huawei kabisa kwa makampuni ya kichina ni moja ya kampuni bora kabisa la kiteknolojia China na duniani wala haikuwa bahati mbaya kuwekewa vikwazo na marekani na baadhi ya mataifa ya magharibi.