Kitu kikubwa kinakuja kwenye semiconductor toka kwa Huawei, ASML na TSMC wakae tayari

Watu kama wewe walikuwepo wapo na watazidi kuwepo,hakuna ambae hajamuiga mwenzie humu duniani.Habari ya dunia ni kwamba china ni taifa kubwa na linaendelea kuwa kubwa.Hata hao America kuna vitu waliiga pahali wakaviboresha.
china taifa ni nani kasema ni dogo? Na ukubwa kwny nn sasa fafanua maana china anaizd marekan labda kwa uwingi wa watu tu tena watu wenyewe hawana uwezo hata wa kununua bidhaa za taifa lao wako bil 4 wkt huo marekani ni mil 400 na ushee cha ajabu bidhaa za china znapata soko marekani kuliko china yan china uchumi wake kibiashara soko anaitegemea marekani yny watu wachache karibu mara kumi ya china, unaposema marekan amecopy baadhi ya vitu nitajie hata kimoja alichocopy toka china.
 
Waliiga wapi na mahali ndio nchi gani hiyo. China hawana lolote ni wapiga chabo tu hao ni mabingwa wa kutengeneza bidhaa feki.

Wanatengeneza bulb inayoweza kuwaka kwa sekunde moja na ndio ikawa ni mwisho wake, vifaa vyao vya umeme ni feki, magari na hata nguo.

Benki wakikupa mkopo wa Civil Works Equipment Ex China wanakupa miaka miwili uwe umemaliza kurejesha mkopo kwa sababu ya "Short Useful Life" lakini kama ni za Ulaya au Marekani ni miaka 6 for the same reason.

Kuna migodi hapa Tanzania imekataa kabisa kuona mkandarasi yeyote akiingiza kwenye mgodi wao Water Pump au kifaa chochote cha umeme kutoka China.

Angalia hata simu zao zinaweza zikatumika miezi miwili tu na zikaanza kusumbua mara system ui not responding mara chrome not responding, mara zinajamu tu bila sababu. China bado sana.
 
china taifa ni nani kasema ni dogo? Na ukubwa kwny nn sasa fafanua maana china anaizd marekan labda kwa uwingi wa watu tu tena watu wenyewe hawana uwezo hata wa kununua bidhaa za taifa lao wako bil 4 wkt huo marekani ni mil 400 na ushee cha ajabu bidhaa za china znapata soko marekani kuliko china yan china uchumi wake kibiashara soko anaitegemea marekani yny watu wachache karibu mara kumi ya china, unaposema marekan amecopy baadhi ya vitu nitajie hata kimoja alichocopy toka china.
Rudi Shule Aisee Kasome Current China Population 🇨🇳

Kama tuu Idadi ya Wachina ni ya Uongo Basi hata Unachokiongea ni Uongo 100%
 
2025 Chines wako 1.4 billion VS USA 347 million (1/4 ya China) :FEMLY:
 
Kumbe mnafanya ambacho wengne wameshafanya miaka mingi na wanaendelea kula matunda tu mi nilidhan kuna jipya china analo kumbe anafanya au anajaribu kukimbzana na vitu ambavyo wengne tyr wanavyo sa kwa akili kisoda ulizonazo unadhan hao uliowataja kwmb watakumbana na upnzani unafkiri wao wamelala eti hiyo deepseek mbona ni utumbo tu copy ya tech ya marekani tena imetengenezwa kwa ubora wa chini sn ni local fulani hivi.
Mkuu wasiwasi wa mzungu unakuja kwamba hicho mzungu anachokizalisha kwa gharama kubwa na kulazimika kuuza kwa gharama kubwa Mchina anakizalisha kwa gharama nafuu hivyo kukiuza kwa gharama nafuu pia. Kwahiyo kama vyote cha mzungu na cha mchina vina ubora sawa ila vinatofautiana bei soko linaamua. Ndo wasiwasi wa Marekani na West wote.
 
jamaa una vituko kwmb bidhaa za china zna ubora sawa na za kutoka magharibi na za wachina ni bei cheap aahaahaaah pro china mna vituko.
 
.ni kweli China ni kiwanda cha Dunia, magharibi USA included wanategemea China
 
Ndo nashangaa TS
jamaa una vituko kwmb bidhaa za china zna ubora sawa na za kutoka magharibi na za wachina ni bei cheap aahaahaaah pro china mna vituko.
ww ndo upo kwenye zama za giza amka dunia imeshaabadilika mda sana
 
Hilo kampuni la Holland limedominate sana kwenye EUV, kama ni kweli China wakifanikiwa itakuwa kitu kikubwa sana hasa Kwa watu wa semiconductor technology. Poor TZ
 
Back
Top Bottom