JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Lengo la creative directors na watu wa marketing department ni kukamata hisia za wateja (brainwashing)Sio Mimi!, ni CRDB bank na kauli mbiu yao mpya ya CRDB wakala "kitu kimesimama"
Hivi hawa watu wa ' PR' wanaohusika na branding ya commodity Fulani... Huwa wanatunga hizi kauli-mbiu wakiwa wamelewa!? Ama wakiwa kitandani!?
Kauli-mbiu za kihuni kabisa! Zisizo na staha!
"Kitu kimesimama!" Maana yake nini!? Nyie CRDB!?
Na ndio lengo limetimia hapoLengo la creative directors na watu wa marketing department ni kukamata hisia za wateja (brainwashing)
Tayari umeshakamatika ..😁
Ukiulizwa kesho "kitu imesimama" unaikumbuka product mpya ya crdb😁
Nchi limejaa wahuni hili kila kona.Sio Mimi!, ni CRDB bank na kauli mbiu yao mpya ya CRDB wakala "kitu kimesimama"
Hivi hawa watu wa ' PR' wanaohusika na branding ya commodity Fulani... Huwa wanatunga hizi kauli-mbiu wakiwa wamelewa!? Ama wakiwa kitandani!?
Kauli-mbiu za kihuni kabisa! Zisizo na staha!
"Kitu kimesimama!" Maana yake nini? Nyie CRDB?
View attachment 2944083
Tatizo ni hawana passport ya Sauzi😂Wangetumia hata “Ubuntu - Botho”
Upo sahihi kabisaNchi limejaa wahuni hili kila kona.
Wanasexualize kila kitu, taifa zima linawaza ngono na ufuska.
Ukifungua media ndiyo hovyo mpaka vipindi vya dini na familia vina maudhui ya ngono.
Haya ni matokeo ya kutumia wapumbavu maarufu kwenye mambo ya maana.
Nipo kwenye daladala Mzee mmoja tumekaa siti moja basi anaperuzi FB ikaingia notification Mzee mwenzio ka-share kitu naona ni mtu anaemheshimu sana Si akabonyeza akaone bwanawee kufika anakuta video ya Dada kamanuliwa anapigwa paipu Mzee akashtuka sana huku 'kitu kimesimama' ikabidi arudi juu kuhakikisha Jina la na picha nikabaki natabasamu tu, ukiangalia picha ya Mzee alie-share video hio ni Mzee mwenye heshima kavaa baragashea na cover kaweka picha ya mkewe, nikajiuliza inawezekana vipi?Itakuwa wanapaka MKONGO
Hii haitakiwi kabisa profesionally. Ila kimtaa wao wamechangua makusudi kwa sababu hiyo controver ndio wanaoaona itawapa publicity kubwa.Sio Mimi!, ni CRDB bank na kauli mbiu yao mpya ya CRDB wakala "kitu kimesimama"
Hivi hawa watu wa ' PR' wanaohusika na branding ya commodity Fulani... Huwa wanatunga hizi kauli-mbiu wakiwa wamelewa!? Ama wakiwa kitandani!?
Kauli-mbiu za kihuni kabisa! Zisizo na staha!
"Kitu kimesimama!" Maana yake nini? Nyie CRDB?
View attachment 2944083
Kwani kitu hakirusiwi kisimame?Sio Mimi!, ni CRDB bank na kauli mbiu yao mpya ya CRDB wakala "kitu kimesimama"