"Kitu kimesimama!" CRDB hapa mnamaanisha nini?

"Kitu kimesimama!" CRDB hapa mnamaanisha nini?

Mimi sio kijana wa ovyo labda niwe Mzee wa ovyo maana nishamaliza ujana mda mrefu 😃
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mzeee hovyo wewe..
Pata picha enzi zako sasa..

Kijiko cha moto kuliko sufuria
 
Sio Mimi!, ni CRDB bank na kauli mbiu yao mpya ya CRDB wakala "kitu kimesimama"

Hivi hawa watu wa ' PR' wanaohusika na branding ya commodity Fulani... Huwa wanatunga hizi kauli-mbiu wakiwa wamelewa!? Ama wakiwa kitandani!?

Kauli-mbiu za kihuni kabisa! Zisizo na staha!

"Kitu kimesimama!" Maana yake nini? Nyie CRDB?
Kichwa yako na profile yako inaendana
 
Inategemea na tafsiri yako mwenyew
Kwa mfano mie hapa nimevaa raba kali sana ipo vizuri yaan kitu kimesimama hatari
 
Sio Mimi!, ni CRDB bank na kauli mbiu yao mpya ya CRDB wakala "kitu kimesimama"

Hivi hawa watu wa ' PR' wanaohusika na branding ya commodity Fulani... Huwa wanatunga hizi kauli-mbiu wakiwa wamelewa!? Ama wakiwa kitandani!?

Kauli-mbiu za kihuni kabisa! Zisizo na staha!

"Kitu kimesimama!" Maana yake nini? Nyie CRDB?

View attachment 2944083
kitendo cha wewe kuweka bando kuingia jf kufungua uzi kuwahusu crdb tayari washawini imagine mlalamike watu 100 kwa siku
 
Back
Top Bottom