"Kitu kimesimama!" CRDB hapa mnamaanisha nini?

Mimi sio kijana wa ovyo labda niwe Mzee wa ovyo maana nishamaliza ujana mda mrefu πŸ˜ƒ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mzeee hovyo wewe..
Pata picha enzi zako sasa..

Kijiko cha moto kuliko sufuria
 
 
Inategemea na tafsiri yako mwenyew
Kwa mfano mie hapa nimevaa raba kali sana ipo vizuri yaan kitu kimesimama hatari
 
kitendo cha wewe kuweka bando kuingia jf kufungua uzi kuwahusu crdb tayari washawini imagine mlalamike watu 100 kwa siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…