Kitu kimoja usichokijua kuhusu biashara (sio hicho unachofikiria)

Maelezo mengi huna cha maana ulichokiongea. Biashara haipo kwenye midomo ama daftari na kalamu. ILi uifahamu biashara ingia field (Mchezoni) ndio utajuwa kitu gani unachotakiwa kukifanya. Biashara zina changamoto tofauti tofauti na pia kila mfanyabiashara ana principle zake na njia zake anazojiuwa

So run your race and let other run their own.
 
Kumbe Mnasoma...[emoji23] Kuna Ingine Tena Nimewawekea

Nendeni Mkaikosoe...
 
Kama kweli Huwa Unataka Kunyoa Tu... Kwanini Unachagua Mnyoo?..

Tatizo Wabongo Tunapenda Kujichekesha Wakati Hatujui Maskini ya Mungu

Dah... My Country People [emoji1746]

Better Uulize kwasababu... Hakuna Alizaliwa Anajua.
Kwahiyo ukichagua mnyoo basi ni biashara?.

Hebu rudi kwenye utimamu wako wa akili kijana, wewe bado mdogo na unategemewa na taifa tafuta kazi na uache huu u-motivation for nothing...🤔🤔
 
Mkuu nimekupata vizuri kwamba huamini ndumba KWENYE biashara.

Nakuuliza tu swali moja
Je,unalifahamu ZONGO?
 
ajabu ingine, wewe mwenyewe unaefundisha watu biashara, si ukute hujawahi kufanya biashara kabisa. hii ndio dunia.
 
We
Kama kweli Huwa Unataka Kunyoa Tu... Kwanini Unachagua Mnyoo?..

Tatizo Wabongo Tunapenda Kujichekesha Wakati Hatujui Maskini ya Mungu

Dah... My Country People [emoji1746]

Better Uulize kwasababu... Hakuna Alizaliwa Anajua.
Unacopy na kupaste huna unachojua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…