…Najua hadi hapo Ulipo utakuwa Umesikia, Umejifunza na Kusoma vitu Vingi sana kuhusu Biashara…
.
Utakuwa Umesikia kuwa…
.
.
.
.
.
.
.
.
.
N.k…
.
ILA…
.
Nataka nikwambie Kitu hapa Chini[emoji1313]
.
...vyote Ulivyowahi kuvisikia Hapo Juu kwa 80% vyote ni vya…UONGO!
.
Yeah Ndio ni vya Uongo...(Wala Sijakosea)!
.
Ndio maana hata...Ukienda kuviweka Hivyo vitu kwenye Vitendo bado Vitabuma Tu!
.
Kwanini?..
.
Jibu Rahisi ni Kwamba...
.
Kwasababu Hivyo Vitu SIO Vya Ukweli!
.
Sasa Mselem... ni Kitu gani Kimoja ambacho ni Sahihi Kuhusu Biashara?..
.
(Unaweza Kujiuliza)!
.
…Na hilo swali ndilo Limenifanya Nikuandalie Makala hii ya leo Ambayo…
.
Ndani yake Naenda kukuwekea UCHI Kitu kimoja wasichotaka Ukijue ukiwa Unaingia kwenye Biashara…
.
Na…
.
Ukweli ni kwamba hiki Kitu Hatari unachoenda Kukiona hapa chini Ndani ya Sekunde 30 Zijazo ni…
.
Kitu ambacho Kiko tofauti sana na Kila kitu ambacho Umekuwa Ukisikia na Kujifunza kuhusu Biashara…
.
By the way…
.
Kabla Sijakwambia Hicho Kitu Naomba kwanza Nijitambulishe kwa Mara Ingine tena…
.
(Maana Nahisi Mmeanza Kunisahau)[emoji23]
.
Kwa Jina Naitwa… “Seif Mselem”
.
Ni…
.
Copywriter, Sales Trainer, High Ticket Closer na Business Consultant
.
Vile vile ni...
.
Mshindi wa TUZO ya Mwandishi Bora wa Mwaka wa Chuo Kikuu cha SUA!
.
Anyway…
.
Nisikucheleweshe!
.
Njoo Tuanze kula Nondo Hapa Chini…
.
Ukweli ni kwamba watu wengi huwa Hawajui wako kwenye Biashara ya nini...
.
Ninacho Maanisha ni Kwamba…
.
.
.
.
.
Ikiwa Uhalisia ni kwamba hao wote Hawako kwenye Hizo Biashara!
.
Na…
.
Ukweli ni kwamba hao wote wako kwenye Biashara ya…
.
“KUUZA Ile Bidhaa/Huduma Wanayotoa”
.
Yaani…
.
Mpika Cake yuko kwenye Biashara ya…KUUZA Cakes!
.
Fundi Nyumba yuko kwenye Biashara ya…KUUZA Makazi!
.
Mwenye Kiwanda cha Alizeti yuko kwenye Biashara ya…KUUZA Afya Bora!
.
Kinyozi yuko kwenye Biashara ya…KUUZA Muonekano Mzuri!
.
Biashara uliyopo wewe ni Biashara ya Kuuza yale Matokeo ya mwisho yanayofanywa na Bidhaa/Huduma Unayotoa...
.
Kwahiyo…
.
Usije ukaingia kwenye Mtengo kama wengine wa Kudhani kwamba uko kwenye Biashara ya kupika Cake na Ukatumia muda wako wote kwenye...
.
Kupika, Kupika, Kupika…
.
Badala Yake…
.
Wewe kama Mjasiriamali makini Inabidi utumie muda wako mwingi kwenye Kitu chenye Faida zaidi kwenye Biashara yako ambacho ni…KUUZA!
.
Kwahiyo kama Mjasiriamali “Kuuza” Inabidi kiwe ndio Kipaumbele chako cha kwanza!
.
Na…
.
Linapokuja swala la Kuuza Inabidi Ulitimize hilo jukumu Ipasavyo!
.
Kwahiyo ili uweze Kusonga mbele Inabidi utumie 80% ya Muda wako kwenye…KUUZA!
.
Au…
.
Kitalaamu Tunaita…
.
“Revenue-Producing Activities”
.
Yaani… Kazi zinazozalisha Kipato kwenye Biashara yako moja wapo Ikiwemo ni…
.
SELLING!
.
Na…
.
Ukweli ni kwamba…
.
Bila Kuuza huwezi Kuwa na Mzunguko wa Pesa (Cash Flow) na bila Cash Flow biashara yako Itakufa kwa kukosa…PESA!
.
PESA ni kama OXYGEN kwenye Biashara yako!
.
Kwasababu…
.
Bila Pesa huwezi Kujilipa wewe, Huwezi kulipa wafanyakazi wako (Kama Umeajiri) na Huwezi kulipia gharama zingine kama kodi
.
Na…
.
Ukishindwa kufanya Vitu hivyo hapo Juu...Ndio Unakuwa mwisho wa Habari zako Sokoni
.
Vile Vile…
.
Usisahau... Pesa unayopata kwenye Biashara yako SIO Pesa yako ni Pesa ya Biashara yako!
.
Biashara yako Inabidi ikulipe wewe SIO Wewe uilipe Biashara yako!
.
I Hope Umejifunza Kitu Kipya Japo kwa Udogo...
.
Uwe na Usiku Mwema!
.
Gracias...[emoji1317]
.
Seif Mselem