Ejolisi
Member
- Aug 26, 2022
- 57
- 87
Kinapima uwezo na utoshelevu wa malezi yenu (Millennials) Je, yanaweza kutumika katika nyakati tofauti tofauti maisha yakiwa yaendelea kubadilika kila siku.
Gen Z au watoto wa 90s na 2000s ukiangalia vizuri kinachotushinda ni mahusiano tu. Sasa nyie wahenga angalieni tatizo ni nini? Sio kutusema tu haisaidii.
Na suluhu ziwe applicable sio mnaongelea vitu haviwezekaniki ooh unajua zamani ilikuwa hivi, tuko sasa hivi hatuko zamani
Na hata hawa vijana wa kataa ndoa sio wakulaumiwa ni kwamba hawaoni maana toeni maana.
- Tuacheni Kujipa Moyo, Ndoa kwa Kizazi cha Sasa ni Gereza la Mateso
- Ukweli ni huu, hakuna usawa kwenye ndoa za kikristo wala ki-islam. Kama huwezi masharti nenda bomani tu
- Hizi ndio sababu za vijana kukwepa Ndoa
- Kwa nini vijana wengi wa kiume miaka ya leo wanaogopa kuoa? Sababu hizi hapa
- Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa