Kitu kinachoshindikana kwenye kizazi cha "Gen Z" ni Ndoa tu

Kitu kinachoshindikana kwenye kizazi cha "Gen Z" ni Ndoa tu

Ndoa za siku hizi zimejaa maghilibu, watu wanaoana leo kesho wanaachana
 
Imenyooshaje mkono juu nawakati financia bill a.k.a budget imepita japokua kulikuwa na maandamano acha ushabiki
Mpuuzi huyo achana nae. Baada aje na point annaleta story za vijiweni, Tanzania haiendi, kwasababu vijana are unaspoken wise too conservative, uingereza, inaogopa kabisa kuwafanya kitu vijana wakiamka, pananuka. Maaana hela vijana wanazo, na chchte wanafanya.
 
 
Back
Top Bottom