Kitu kinaitwa 'Job Security' kimewafanya watu wamekuwa masikini

Kitu kinaitwa 'Job Security' kimewafanya watu wamekuwa masikini

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
MTU unapata dili ambalo litakupa mil 50 Kwa miaka miwili then unalikataa kisa eti job security!?

Yaani Kijana unakimbilia kufanya Kazi kijijini ya ualimu ambayo itakupa mil 7 Kwa mwaka huku ukijifariji na kitu kinaitwa Job Security.

Don't bury ur dreams homie

Job security ni Kwa ajili ya watu ambo sio hustler na ambao hawana ndoto kubwa.
 
Kipi kimeanza?

Deal la job security au la 50M in two years?

Kama yote yamekuja kwa pamoja nakimbilia la 50M in two years kwa sababu deal la job security sijalianza so halitanipa utata katika kuamua.

Kama nipo kwenye deal la job security halafu linakuja hilo jingine hapo sasa ndiyo maswala ya kituo cha kazi kuonekana mara mbili kwa wiki
 
Unaweza kuchagua 50 ml for two days ukiwa na job security. Akili tu inahitajika
 
Hiyo ni Average ya shs 2,080,000 per Month. Kama una familia na watoto wapo shule baada ya miaka 2 unaweza kujikuta una salio la shs 0.
 
Vijana Wapo wengi watafute wape dili kama huyo uliemtegemea kachomoa,,,Kila Mtu anaamuzi na Maisha yake
 
Niliacha kazi serikali watu wakaona Kama nimechizi Ila sasahv wananielewa pesa ambayo ningeitengeneza kwa mwaka naitengeneza kwa wiki

Kazi za watu na serikali ni utumwa mtakatifu
Hakuna ambaye ataiona fursa kama uliyoiona na akaweza ifukuzia halafu akaacha labda awe chizi.
 
Back
Top Bottom