Hakuna ambaye ataiona fursa kama uliyoiona na akaweza ifukuzia halafu akaacha labda awe chizi.Niliacha kazi serikali watu wakaona Kama nimechizi Ila sasahv wananielewa pesa ambayo ningeitengeneza kwa mwaka naitengeneza kwa wiki
Kazi za watu na serikali ni utumwa mtakatifu