Kitu kinathamani ukisha kipoteza

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
1. Kuna watu hawawajali wapenzi kwa sababu wapo, thamani ya mpenzi ni pale utakapo mpoteza;
2. Kuna wanawake wenye bikira wanatafuta wakuzitoa, utaitamani lakini haitarudi
3. Kuna wanaume wanapenda nyumba ndogo kwa sababu tuu wake zao wapo na hawataki kujua thamanai yao.

Tuwathamini wenzetu kama mungu anavyo tuthamini. TUWAPENDE HATA KAMA HAWANA VILE TUNAVYO TAKA, HAKUNA ALIYE MKAMILIFU
 
Moments are not always on our side.
 
Nobody notice what u do, until u don't do it. Hata ww ukiondoka JF ndo tutajua umuhimu wako
 

kaka apo upo sawiaaa pouuwa sana nimeipenda.kuna dada mmoja alimletea mpenzi wake vituko vingi sana bada ya kufa mpenzi katoa kilio nusra kufa
 
Umenikumbusha machungu niliyo nayo ya kutendwa
 
Hii ni kweli,mara nyingi thaman ya mpenz,au kitu chochote,tunajikuta kwa nini tumevipoteza,baadae kabisa.

Point of correction:nyumba ndogo ikikukimbia,utaumia nini?,wakati ukute source ya kumpoteza mpenz wako ni yey.Sijapenda huo msemo.
 
Thanks, ulilonena ni kweli mpendwa.Huwa wanaviona vya nini wakiwa navyo vikisha watoka ndo wanavikumbuka
 
utapata kipya usiogope maisha ndo haya haya
 
sadly ulichokiongea wote tunakijua lakini tumekuwa wagumu kubadilika...mpaka yatukute personally ndo mtu anakubali....
 
Wengine hatupendi kubahatisha... Ukiwa na Kitu unakithamini ipasavo.... To the extent kisipokuwepo unaona I did my best sasa let it go!
 
Wengine hatupendi kubahatisha... Ukiwa na Kitu unakithamini ipasavo.... To the extent kisipokuwepo unaona I did my best sasa let it go!

mkwe hapo najua, unapaweza. thats why i have put much trust to your daughter.
 
maneno yamenigusa ni ukwel mtupu

Mwenyewe nikiyasoma yanigusa sana, tatizo mara nyingi badala ya kutafuta solutions tunakimbilia kukomoana, Kutishiana hata bila kuangalia risk zake. Mwisho ni upweke na kuchanganya maisha.
 
mkwe hapo najua, unapaweza. thats why i have put much trust to your daughter.



Hii siku kuu mkwe umeniandalia nini? (my daughter is growing beautiful everyday... I am having second thots aiseee lol):A S-coffee:
 
And that is what I try to express with my signature...


Exactly Roulette... Mie husema Regrets are soooo boring. Live the Moment ukichemka learn from them! But sishangai... You are my Alter... I just wonder what Ngabu would say in the matter....lol
 
Hii siku kuu mkwe umeniandalia nini? (my daughter is growing beautiful everyday... I am having second thots aiseee lol):A S-coffee:

Nawe pia sherehe njema my mkwe , Nipanga asubuhi kumtoa bintiyo lakini kwa kuwa sikutoa taarifa ampema nimeweka next suturday.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…