Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
Mkuu awe mama wa nyumbani awe mtumishi vyovyote vile akiamua tu kuitoa itachakatwa muda wowote. Hao wa mama wa nyumbani wanachakatwa na ma house boy, majirani, wauza maziwa, waosha kucha, machinga, serengeti boy, boda boda nk yaani kama wakuchakatwa wataichakata tu.Hi!
Ngoja kwanza nianze kwa kucheka.
Niko kwenye ofisi za umma yapata miaka 7 sasa.
Dunia haiachi maajabu, anayelipwa mshahara yuko katika uhitaji wa pesa kuliko yule ambaye halipwi mshahara.
Sasa hawa wanawake employed ambao wana MISHAHARA na huenda waume zao wana MISHAHARA au biashara kubwa tu ndio wanaogongeka kisa offer za lunch, daaaahhh
Wakisafiri kikazi ndio usiseme.
Kwa ufupi ili ufurahie maisha mke wako mfanye mama wa nyumbani kinyume na hapo kubali kila kitu, tupa wivu mbali