Kitu m bet! Kutoka buku mpk milionare

Kitu m bet! Kutoka buku mpk milionare

chambimagaka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
288
Reaction score
338
9dbbdcb03b9ca6dc4017d5b4ac318bdc.jpg
 
Hiyo unatakiwa ubashiri timu zote kumi na mbili bila kukosea ndio uupate mpunga wote! Ukikosea hata moja mpunga unapungua na unatakiwa upate angalau mechi tisa ili uwe eligible kupata hiyo mifeza
 
Je, ukifanikiwa kubashiri vizuri bila kukosea hata kidogo kwenye M-BET unapata fedha zako bila figisu figisu zozote?
 
Back
Top Bottom