Kitu Namba 3 Ambacho Wanaume Hawakipendi Sana kutoka Kwa Wenza

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Kuna vitu vingi ambavyo wanaume vinawakera ili mara nyingi hawawezi kuvisema kwa wake zao na wakisema wanajua vinaleta ugomvi tu. Kati ya hivyo vingi vitatu ni vikubwa. Naomba nitaje hiki cha tatu na sijui labda dada zetu watabadilika.. (uwezekano wa hilo ni sifuri!)

Usiku wa manane.. mmelala mtu anaanza "Baba Chanja... unajua mama mdogo hatujamuona siku nyingi kweli kwanini tusiende kumtembelea weekend hii". Yaani hiyo ni saa tisa za usiku mtu kakosa usingizi anaamua kukuamsha na wewe wakati labda ulikuwa kwenye dili zako ndotoni..

Hivi ni lazima kweli mtu aanza kuzungumza mambo mazito usiku wa manane utadhani kuna emergency.?

Kama hukai na mke/mwanamke ndani hili huwezi kulielewa...
 
Be the first to reply...

Ila kama upo Bongo MMK najua limekukuta usiku wa leo na kwa kuwa huwezi kumueleza limekukera basi umeamua kuja kutoa machungu humu!

Anyway, jaribu kuelezea kero yako kwake wakati mko kwenye mazungumzo mazuri mchana. Ukilisema wakati huu hatokuelewa kweli.

Ila wakati mwingine pia shemeji anakuwa na hamu sasa anawaza akuanzaje, wewe siku nyingine akikuamsha na stori nzito wewe mpe mchezo mzito utaona kama baada ya hapo atataka tena mlizungumzie hilo.

Alternatively kama nguvu zimepelea basi fanya hivi: amka washa laptop mwambie mkae muanze kuzungumza. Mkimaliza anzeni kupanga na bajeti ya mwakani. Mkimaliza anzeni kupanga ndugu wengine mtakaowatembelea kwa mwaka mzima ujao. Yani in short mkere zaidi ya alivyodhamiria kukukera kwa topic hiyohiyo yake.
 
Michael Cain ambae ni mcheza sinema mzaliwa wa Uingereza alisema yeye na mkewe wana nyumba tofauti katika jumba lao la vyumba 16 vya kulala na anaamini hiyo kuwa siri kubwa iliyoepusha migogoro ya ndoa kati yake na mkewe
Cain alisema vyumba vyao yeye na mkewe vina milango inayoingiliana, lakini kama mmoja anasoma kitabu na mwingine anakariri mistari ya sinema ijayo hawaingiliani
 

Inawezekana huo ukawa ni uamuzi mzuri tu hata kwa watu wasio na vyumba vingi... mmoja analala sebuleni mwingine chumbani mkutano ni pale ambapo inalazimisha tu...
 
Unafiki at its best......... Uliyemfungia kwa kusali na kuomba siku 40 anafanya "ushetani" na wewe umeamua kuhamia chit chat na MMU kwa kujipa faraja ya kinafiki

Ovyo kabisa weeewe.......
 

HUYO NI WA KWAKO TU, HALIWEZI KUWA COMMON PROBLEM KWA WANAWAKE..... POLE SANA, PAMBANA NA HALI YAKO.
 
Unafiki at its best......... Uliyemfungia kwa kusali na kuomba siku 40 anafanya "ushetani" na wewe umeamua kuhamia chit chat na MMU kwa kujipa faraja ya kinafiki

Ovyo kabisa weeewe.......

Duh... kweli tuna kazi. Nina uhakika unajisikia vizuri mwenyewe. Shukuru Mungu tuliomba siku 40 tusingeomba sijui ingekuwaje.
 


Soma alama za nyakati.....mwanamke kama huyu anakuwa katika wakati mgumu wa kuomba gegedo kwako, hivyo anafanya kila njia ya kutafuta kisingizio cha kukuhamsha na kukukatisha usingizi wako ili baada ya mazungumzo uombe kale kamchezo kisha mpate usingizi mwanana. Ni mbinu tu wanatumia......!
 
Anakushtua mle msosi wa uck au hujui kuwa hiyo nayo ni tactic mojawapo?
 
Duh... kweli tuna kazi. Nina uhakika unajisikia vizuri mwenyewe. Shukuru Mungu tuliomba siku 40 tusingeomba sijui ingekuwaje.
Haya yanayotokea kwa sasa ni matokeo yake na unafurahia...... Nasubiria andiko lako kuhusu furaha ya kupigwa risasi kwa Tundu Lissu, kuuliwa kwa Alphonce Mawazo, kupotea kwa Ben Saanane and the list goes on.....


Yanayotokea umeyaombea............
 
"Ukiona Choo ndotoni, usikitumie"
 



Hawaingilian kivipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…