Kitu Namba 3 Ambacho Wanaume Hawakipendi Sana kutoka Kwa Wenza

Hahahahahahaa mkuu usijidanganye mwNamke unapaswa kuyakubali mapungufu yake ukijiona huyawez just stay away mwanamke habadiliki hata kidogo ila hupretend kwa muda tu
 
 
Huyo inawezekana kuna kingine anataka anaanza kukuamsha kwa hila tuu Mzee Mwanakijiji angalia usishindwe kusoma alamaza nyakati kwa uzee.
 
Kama huyo mwanamke anatabia za kukupigisha story usiku wa manane... Kwa nini usimuambie aache...

Au kausha piga zako usingizi, kwani lazima kusikiliza...


Cc: mahondaw
 
mmh! kama vile hilo jiwe lililorushwa gizani limenipata!
Yalaaaaa!!!!
 
Mkuu.
Nilidhani wangu ndo ana ugonjwa huo! Kumbe ni global phenomena.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…