Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Inamaana kama si kufanya mapenzi wanapeana nafasi, hata kama mwenzi anakoroma hukereki.Hawaingilian kivipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana kama si kufanya mapenzi wanapeana nafasi, hata kama mwenzi anakoroma hukereki.Hawaingilian kivipi
Hahahahahahaa mkuu usijidanganye mwNamke unapaswa kuyakubali mapungufu yake ukijiona huyawez just stay away mwanamke habadiliki hata kidogo ila hupretend kwa muda tuBe the first to reply...
Ila kama upo Bongo MMK najua limekukuta usiku wa leo na kwa kuwa huwezi kumueleza limekukera basi umeamua kuja kutoa machungu humu!
Anyway, jaribu kuelezea kero yako kwake wakati mko kwenye mazungumzo mazuri mchana. Ukilisema wakati huu hatokuelewa kweli.
Ila wakati mwingine pia shemeji anakuwa na hamu sasa anawaza akuanzaje, wewe siku nyingine akikuamsha na stori nzito wewe mpe mchezo mzito utaona kama baada ya hapo atataka tena mlizungumzie hilo.
Alternatively kama nguvu zimepelea basi fanya hivi: amka washa laptop mwambie mkae muanze kuzungumza. Mkimaliza anzeni kupanga na bajeti ya mwakani. Mkimaliza anzeni kupanga ndugu wengine mtakaowatembelea kwa mwaka mzima ujao. Yani in short mkere zaidi ya alivyodhamiria kukukera kwa topic hiyohiyo yake.
Haya yanayotokea kwa sasa ni matokeo yake na unafurahia...... Nasubiria andiko lako kuhusu furaha ya kupigwa risasi kwa Tundu Lissu, kuuliwa kwa Alphonce Mawazo, kupotea kwa Ben Saanane and the list goes on.....
Hawa ndo waliyofunga na kuyaomba, ashame on them. Wametuletea laana. Anyway ngoja tuburudishane Kwa huu uudaku
Yanayotokea umeyaombea............
Huyo inawezekana kuna kingine anataka anaanza kukuamsha kwa hila tuu Mzee Mwanakijiji angalia usishindwe kusoma alamaza nyakati kwa uzee.Kuna vitu vingi ambavyo wanaume vinawakera ili mara nyingi hawawezi kuvisema kwa wake zao na wakisema wanajua vinaleta ugomvi tu. Kati ya hivyo vingi vitatu ni vikubwa. Naomba nitaje hiki cha tatu na sijui labda dada zetu watabadilika.. (uwezekano wa hilo ni sifuri!)
Usiku wa manane.. mmelala mtu anaanza "Baba Chanja... unajua mama mdogo hatujamuona siku nyingi kweli kwanini tusiende kumtembelea weekend hii". Yaani hiyo ni saa tisa za usiku mtu kakosa usingizi anaamua kukuamsha na wewe wakati labda ulikuwa kwenye dili zako ndotoni..
Hivi ni lazima kweli mtu aanza kuzungumza mambo mazito usiku wa manane utadhani kuna emergency.?
Kama hukai na mke/mwanamke ndani hili huwezi kulielewa...
markhabaaaa!! sasa kaninunulie vocha dogo dukanMe sijaoa bado mtoto.shikamooni