Tambwe alizichapa ngumi na Ngoma walipokuwa kambini Uturuki, kisa Ngoma amependekeza kwa uongozi umsajili straika pacha mwenzie mwingine, ambaye ni Chirwa. Tambwe anawekwa benchi, labda atapangwa wakicheza na NdandaWalio karibu na Tambwe wamshauri tu huko anakoelekea....hapa waza mwenyewe
Mkuu unataka kusema tambwe anajikrimu!!Walio karibu na Tambwe wamshauri tu huko anakoelekea....hapa waza mwenyewe