Kitu Pekee Yanga Wanachoweza Kufunga 'Kimataifa'

Kitu Pekee Yanga Wanachoweza Kufunga 'Kimataifa'

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Yanga-Rwanda-1.jpg

usipate taabu kuwaza ni 'MKANDA WA KITI CHA NDEGE'
 
Walio karibu na Tambwe wamshauri tu huko anakoelekea....hapa waza mwenyewe
 
Picha za zamani kweli. Kipindi hiko wachezaji wanavaa track suit na sandles kwenye ndege!

Duh! Asante kwa kutukumbusha mbali aisee!
 
Weka zile za kwenye boat kwenda Zanzibar. Huko hawafungi mikanda?
 
Walio karibu na Tambwe wamshauri tu huko anakoelekea....hapa waza mwenyewe
Tambwe alizichapa ngumi na Ngoma walipokuwa kambini Uturuki, kisa Ngoma amependekeza kwa uongozi umsajili straika pacha mwenzie mwingine, ambaye ni Chirwa. Tambwe anawekwa benchi, labda atapangwa wakicheza na Ndanda
 
Daah nyama za medeama ni ngum sie tumezoea nyama ya simba
 
Lakini nashangaa wanafungwaje wakati masharti ya mganga wanafata? Mganga alisema wakunje track miguuni. Wote walikunja sasa wanafungwaje tena?


Picture+4325.jpg
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom