Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...
1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren
Hahahaha! Rasasi??? Dah.... PJ kuja ujibu hizi tuhuma hapa.. Umenikumbusha enzi za mwalimu!hivi unajua PJ ana tumia ipi...?....mmmh cobra hapana aisee.....labda Rasasi....
@ Mr Rocky naacha walah tena we mwenyewe umekiri ukimpata mzee anatumia hizo zako utaacha kuzitumia lol...
TF bana huwa haishiwi mikakati, tusubiri tuone. atakuja na mpya gani.
mbona mnapotezea Blue lady, nivea, love intention etc?
Rasasi nini, sema ngoma inaitwa UDDY!hivi unajua PJ ana tumia ipi...?....mmmh cobra hapana aisee.....labda Rasasi....
Ulikutana na feki...Miyake kuna m2 alirecomend kwenda kuicheki haifai kabisa. Itakuwa feki
Love intention pia iko poa, niliwahi kuitumia siku za nyuma, nilikuwa naipenda nayo nikakutana na feki, nkaachana nayo!mbona mnapotezea Blue lady, nivea, love intention etc?
sitaki bana...hahahah haya bana ila kama unaipenda endelea kutumia bana usiiiache kwa kuw ainatumiwa na mzee wa mtaani kwetu
tusubiri tuone tf anakuja na mpya gani aise maana yule hana dogo
Mkuu kwa hapo 3,5 & 7 ni mwake sana na huwezi zikosa kwenye list
Mc no moja imekaa kibaba sana yaani wanatumia wazee fulani hivi
uko sahihi kwa maana kwamba hiyo no 1 ni ya kitambo na wajanja wenye hela toka miaka hiyo walianza kutumia!mi mwenyewe nili-desa toka kwa kigogo mmoja kitambo sana nikaitafuta mpaka nikaipata!however currently natumia no 2 na 3,though ninazo zingine za kuchakachulia a.k.a cocktail a.k.a michanganyo!
Miyake kuna m2 alirecomend kwenda kuicheki haifai kabisa. Itakuwa feki
Sema zingine majina yake sasa! Mara Play boy, Seduction, Romance, Amateur. . .
siku hizi old brands nyingi zinachakachuliwa!niliacha kutumia hiyo kitu baada ya kuona mabox matatu yamefanana lakini yana utofauti,nikasema wanga washaingia huku nikaachana nayo!
Yeah kama kawaida hata ambazo hazina majina sana ili uonekane tofauti kidogo sio kila siku the same