Kitu Perfume. . . .

Kitu Perfume. . . .

Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...

1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren

umesahau Blac xs - Pacco Rabanne, Narciso Rodgrigues(for him) na Kouros Body
 
hivi unajua PJ ana tumia ipi...?....mmmh cobra hapana aisee.....labda Rasasi....

Hahahaha! Rasasi??? Dah.... PJ kuja ujibu hizi tuhuma hapa.. Umenikumbusha enzi za mwalimu!
 
@ Mr Rocky naacha walah tena we mwenyewe umekiri ukimpata mzee anatumia hizo zako utaacha kuzitumia lol...

TF bana huwa haishiwi mikakati, tusubiri tuone. atakuja na mpya gani.
 
@ Mr Rocky naacha walah tena we mwenyewe umekiri ukimpata mzee anatumia hizo zako utaacha kuzitumia lol...

TF bana huwa haishiwi mikakati, tusubiri tuone. atakuja na mpya gani.

Hahahah haya bana ila kama unaipenda endelea kutumia bana usiiiache kwa kuw ainatumiwa na mzee wa mtaani kwetu
Tusubiri tuone TF anakuja na mpya gani aise maana yule hana dogo
 
mbona mnapotezea Blue lady, nivea, love intention etc?
 
mbona mnapotezea Blue lady, nivea, love intention etc?
Love intention pia iko poa, niliwahi kuitumia siku za nyuma, nilikuwa naipenda nayo nikakutana na feki, nkaachana nayo!
 
hahahah haya bana ila kama unaipenda endelea kutumia bana usiiiache kwa kuw ainatumiwa na mzee wa mtaani kwetu
tusubiri tuone tf anakuja na mpya gani aise maana yule hana dogo
sitaki bana...
 
Mkuu kwa hapo 3,5 & 7 ni mwake sana na huwezi zikosa kwenye list

Mc no moja imekaa kibaba sana yaani wanatumia wazee fulani hivi

uko sahihi kwa maana kwamba hiyo no 1 ni ya kitambo na wajanja wenye hela toka miaka hiyo walianza kutumia!mi mwenyewe nili-desa toka kwa kigogo mmoja kitambo sana nikaitafuta mpaka nikaipata!however currently natumia no 2 na 3,though ninazo zingine za kuchakachulia a.k.a cocktail a.k.a michanganyo!
 
Yeah kama kawaida hata ambazo hazina majina sana ili uonekane tofauti kidogo sio kila siku the same
 
Miyake kuna m2 alirecomend kwenda kuicheki haifai kabisa. Itakuwa feki

siku hizi old brands nyingi zinachakachuliwa!niliacha kutumia hiyo kitu baada ya kuona mabox matatu yamefanana lakini yana utofauti,nikasema wanga washaingia huku nikaachana nayo!
 
Sema zingine majina yake sasa! Mara Play boy, Seduction, Romance, Amateur. . .
 
siku hizi old brands nyingi zinachakachuliwa!niliacha kutumia hiyo kitu baada ya kuona mabox matatu yamefanana lakini yana utofauti,nikasema wanga washaingia huku nikaachana nayo!

Thats the problem. Mfano hii ya 212 sexy men ipo ya 5,000 sasa ukipaka inaishia hapohapo
 
Yeah kama kawaida hata ambazo hazina majina sana ili uonekane tofauti kidogo sio kila siku the same

kabisa mkuu!majina kitu gani bana!kwanza watu wenyewe siku hata hawajui harufu ya perfume na majina yake!so hata simple brands unapeta tu!mfano kuna moja jamaa barabarani kaniuzia elf 10 napeta nayo tu,inaitwa VR ONE!jamaa sijui kaiba dukani mi sijui
 
hayo majina hata kuwa nayo home ni soo
perfume inaitwa Amateur au Play boy
Duh noma

Hapo sasa, ila hiyo ya play boy and reduction nimewahi kuskia the way zinavyonukia. So nice, ila majina sasa!
 
Back
Top Bottom