The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
Dah mi napenda kama ile yenye harufu ya rungu spray ya mbu nimeisahau jina kiasi kwamba hata tukijimwagia unyunyu hata tukiwa faragha mbu hawatupati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...
1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren
Mmeishia kutaja perfume na wengine wetu tumejua mnazo
Sasa je zina umuhimu gani kwenye maisha yenu na wapenzi wenu
msiishie kutaja tuu
Wengine hawapendi hata harufu ya perfume ile ya kawaida ya mwili tuu inatosha
Lol....kama mm nnavyopenda harufu yako.
Lol....kama mm nnavyopenda harufu yako.
Hmmmmmm......
Asante sana dear
Najua unaipenda harufu yangu na najua aina ya perfume ninayoitumia
Asante sana dear
Najua unaipenda harufu yangu na najua aina ya perfume ninayoitumia
Swadakta!wewe tena....ila niko tayari kukupa zawadi.
Uongo mbaya nikisikia mwanaume ananukia vizuri akili yangu huwa inahama:wink2:
Wewe unatumia perfume au cologne?
Anatumia cologne....mi mkewe ndio maana nimemjibia.
Anatumia cologne....mi mkewe ndio maana nimemjibia.
Hela ya EPA ilinipiga chenga ndiyo maana nilitoka nduki. Nielekeze unakopatia hiyo ya bei ya kawaida maana imeniishia. Huwa nanunua nikipata safari ya nje.
Hapana kiongozi hilo ni Jina la hiyo parfume sio bei yake, na PACO RABBANE ni jina la designer,ipo the Lady million na 1 million man zote za huyo Spannish designer,next time ukipita uliza bei mkuu usiogope.PACCO RABANE kichupa kwa tsh one million Tsh (1m.) Nenda pale junction ya Mosque/Market street opp IM Bank utakipata hicho kichupa. Usiniulize zaidi maana na mimi nilikitizama tu na kuondoka.
Yaah, sasa nimejua watumiaji tulikuwa zaidi ya mmoja!umejua sasa eeehh......
sijaona mtu kataja mafuta uzuri, nayo ni mazuri sana.
Afu hata udi, upo ambao ni mzuri sana, ningekuwa naweza ningemuonjesha mmoja udi, tena raha yake nyakati za kwenda kulala.