Kitu usichokijua kuhusu ‘juisi ya boksi’

Ndio mzizi mkavu,kumbuka yafuatayo,
1.matunda hukamuliwa na kuifadhiwa kwa njia za kienyeji na kisasa preservative inayotumika mara nyingi ni sodium benzoate inayokubalika kama food grade..kuifadhi na kusindika matunda ni vizuri kiuchumi kwa kuyaongezea thamani na pia matunda ya aina moja hayapatikani kipindi chote cha mwaka hivyo huifadhiwa ili kuokoa hasara ya kupoteza matunda wakati wa msimu,TAnzania tunaitaji hii ili kusaidia wakulima na walaji, usiwatishe wadau.
2.kufanana kwa ladha ya matunda ni selection anayoweza kuifanya msindikaji au inategemea na wingi wa matunda katika nchi husika, takwimu kutoka association of mango growers in tanzania kuna zaidi ya aina 50 za maembe yanayolimwa kwa sasa east and central Africa eg. Pwani utapata bolibo na apple kwa wingi india utapata totapuri unategemea msindikaji wa eneo hilo ataprefer aina ipi?ikizingatiwa na aina ya embe lililozoeleka kwa walaji?
3.Hata matunda unayopata sasa mengi sio organic kwa hiyo usibabaike.
4.Kwa wadau wa chakula tunajua kila kitu kina impact toa article kuhusu coke uone ni wangapi wataichagua dhidi ya juice ya box.

Mwiso napenda kutoa wito kwa wadau kupanda matunda na kuwekeza katika viwanda vya matunda ili kukuza uchumi wa Taifa letu.
 
Hii ni hatari kwa jamii yetu asante kwa kutujuza
 

Nashukuru sana MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Daah kaka mkubwa kila kitu ukishatoa demerits huwa nakinote, nasubiri siku ukija na madhara ya kuoa/kuolewa na mke/mume mzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…