Sasa GT halafu hujaelewa mkuu. Basi subiri wajuaji waje watakuelewesha mkuu.cjaelewa
pouwaaaSasa GT halafu hujaelewa mkuu. Basi subiri wajuaji waje watakuelewesha mkuu.
Ground Thinker[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Sasa GT halafu hujaelewa mkuu. Basi subiri wajuaji waje watakuelewesha mkuu.
Ulikula ile mixture ya unga na udiko...Nilipokuwa mtoto nilikuwa napenda sana wali maharage na hata iweje ni lazima mimi nipikiwe Chakula hicho.Siku moja hali ikawa ndivyo sivyo nyumbani na bi Mkubwa akaniambia bwana mzee leo hakuna wali utakula ugali tuu jioni. Nikajifanya mimi bingwa wa hasira si nikanyea unga uliokuwa umehifadhiwa kwenye kindoo.Kilichonipata ni Mungu tu anajua.
Kuna thread anasema ye ni jembe kasoma PCB lkn hajaelewa hio simple sentence yako, hahahSasa GT halafu hujaelewa mkuu. Basi subiri wajuaji waje watakuelewesha mkuu.
Hahaha..yaani nilitunzia raia mkuu... Da, Jah atanilipa au pengine ashanilipa sacrifice yangu..="miss chagga, post: 15239698, member: 148879"]kaolewana anagongwa na wengine ha ha ahhaha
Mieleweshe mkuucjaelewa
sijasoma pcb nmesoma PCM mkuu sawa na GT maana ake n great thinker sawaHahaha..yaani nilitunzia raia mkuu... Da, Jah atanilipa au pengine ashanilipa sacrifice yangu..
nmesoma PCM mkuu sio PCB na sjasema mm jembe ila nmememwambia asiwatishe watu n ngumuKuna thread anasema ye ni jembe kasoma PCB lkn hajaelewa hio simple sentence yako, hahah
Hahaha atoto nakufaa huku mbavu zanguuuuu. Basi usijali ntakuwa nakuandalia chai kila ukijaMara ya kwanza kabisa kwenda town kwa sistaangu (ila siyo huyu atoto wala Heaven Sent , hawa wa juzi juzi tu wananifuata mimi kwa mbali huko) ndo kukukuta chai ktk maisha yangu, tulizoea kunywa uji tu home kijijini. Basi nikawa nimeipenda sana ile chai ya rangi na ule ushamba wangu wa kijijini. Nakumbuka siku hiyo sista yuko huko uani anafua fua, mi nikaingia zangu ndani taratibu hadi kabatini nikatoa chupa ya chai tulikuwa wenyewe tunaita semosi. Nia yangu niibe chai angalau pafu kidogo, basi kufika nikaifungua ile semosi fasta nikafungua mdogo fasta tupia huko chai weeeeeeeeee niliunguaaaaa mbaya mdomoni, nilishuhudia natema vinyama tu kwa jinsi nilivoungua na chai. Sijui kwanini sikuwaza kuwa ni ya moto, yaani sina jibu zaidi ya utoto!!
Hahaaaaa dah!!!mimi nakumbuka nikiwa darasa la tatu niliku mpenzi sana wa samaki sasa mzee alikuwa kila week analeta samaki wa bichi mama anawakaanga fresh anatia ndani ya jokofu.. mimi hata unipe samaki mzima kiu hamu haishi .. nikawa na katabia cha kuokoa samaki nakula upande mmoja halafu namgeuza anaonekana ajaguswa wakati wa kupika mama akiuliza kila mtu anakataa.. siku moja jioni jioni nikafanya huo mchezo wangu wa udokozi acha mfupa unipalie kooni mama ndiyo akagundua mwizi wake ni nani kipigo nilichopata baada ya kutolewa mfupa aisee mpaka leo siwezi gusa kitu cha mtu bila kuomba,........... udokozi mbaya hasa wa samaki
Mkuu kumbe haya mambo ulianza mapema eeh, no wonder......Nikiwa mdogo niliwahi kuiba hirizi iliyokuwa inapumua ya mzee mmoja mchawi aliyekuwa anaogopeka sana pale kijijini. .kwenda kuipasua nilikuta kinyonga aliyekatwa mkia alitweta kwa kukosa pumzi vizuri
Lile tukio lilikuwa kubwa na baya pale kijijini mpaka ikibidi nihamishwe
Mimi nilijipaka utomvu wa majani flani kule kwetu mamndenyi kwenye uume - wakaka wakubwa walitudanganya inaongeza ukubwa wa uume - niliumwaaaaaaaaaaa...lakini ilisaidia nilitahiriwa kabla ya kufikia umri wa kutahiriwa (kwa mila zetu).
Siuhitaji tena, nimeshakuwa mkubwa wa kutosha! #sidanganyiki
Daah sitakaa nisahau tukio kama hilo maana damu ziliruka niliogopa nikatoka baruuu, alishonwa nyuzi kibaooo.Kumpiga mtu na jiwe,bahati nzuri ndio mambo ya kijijn,maan alipasuka kweli kichwani
Hahahaaaa mdundiko ulipoteza watoto wengi.Mimi niliwahi kupotea na mdundiko[mganda].....niliufuata bila kujijua kutoka magomeni hadi pugu!!!!!!!
Mmh au ndo wewe ulinipasuaga kwenye paji la uso? Sema me sikushonwa, kweli hujaanza leo kuonea wivu reception yanguDaah sitakaa nisahau tukio kama hilo maana damu ziliruka niliogopa nikatoka baruuu, alishonwa nyuzi kibaooo.