Kituko cha utotoni ambacho sitakisahau

Yani hapana, ni umenichekesha ujue khaaaaaa. Lazima uwe na adabu na chai sasa hivi teh
 
Ewaaaa that's what I did mkuu, sasa imagine kitu cha moto afu unaharaka zako kupiga pafu coz unaiba afu wazo la kusema ni ya moto huna, weeeeeee hakuna rangi utaacha kuona!!
Sipati picha aisee maana chai ya moto. Kuna vitu vinatokea mpaka unashangaa. Utotoni tunapitia mengi sana
 
duh, mkuu kumbe udadisi wako kwenye haya mambo ulianza kitambo hiviooo??
 
Vtuko ni vingi sana.

Sijui kipi nikiweke kwanza, maana
 
Mimi nilijipaka utomvu wa majani flani kule kwetu mamndenyi kwenye uume - wakaka wakubwa walitudanganya inaongeza ukubwa wa uume - niliumwaaaaaaaaaaa...lakini ilisaidia nilitahiriwa kabla ya kufikia umri wa kutahiriwa (kwa mila zetu).
dah, naujua huu, na hii kitu ilikua inatokea sana kule uchagani, kwa kilugha hivi huu mmea ulikua unaitwaje tena?
 
Yani hapana, ni umenichekesha ujue khaaaaaa. Lazima uwe na adabu na chai sasa hivi teh
Siku hizi hadi najichelewesha makusudi ipoe ndo nitest, sithubuti eti imemiminwa tu niweke mdomoni, big no, lile tukio la utotoni bado linaniathiri hadi leo
 
Duuh kunbe ujasiri ni asili yako, naimagine hapa mchana wa jua kali kukatiza vichaka hadi kisimani peke yako, hata hukuogopa majini ya majini huko peke yako l
Hahahaaaa! Hataa hilo wazo halikuwa kichwani, alafu mie sio muoga kabisa.
 
Hahahaaaa! Kufakamia hukuanza uzeeni my kaka
 
Siku hizi hadi najichelewesha makusudi ipoe ndo nitest, sithubuti eti imemiminwa tu niweke mdomoni, big no, lile tukio la utotoni bado linaniathiri hadi leo
Mie sijawahi ungua ila na uzee huu napooza chai kwanza ndio nanywa.
 
Hahahaaaaa! Yaani nimecheka hadi nimelia maana sio kwa kufakamia chai huko ikiwa ndani ya "semosi"
Hahaaaa we Sista badala ya kunipa pole kubwa we unanicheka, haya bwana
Ungejua nilivyoumia ungenipa pole tu baasi, semosi hadi leo naiheshimu
 
Hahaaaa we Sista badala ya kunipa pole kubwa we unanicheka, haya bwana
Ungejua nilivyoumia ungenipa pole tu baasi, semosi hadi leo naiheshimu
Hahahaaaa pole sikupi ng'oooo
Weeeee mashauri nilianza secondari baada ya kuanza kusifiwa sifiwa na wadada darasani, teh
Mdanganye heaven sent ila mimi hunidanganyi kitu.
 
Hahahaaaa pole sikupi ng'oooo

Mdanganye heaven sent ila mimi hunidanganyi kitu.
Roho mbaya hiyo sista, looh
Heaven Sent ana roho ya huruma ya kuzaliwa ndoa maana ananipa pole ya utundu wangu wa utotoni

BTW hivi hawa watoto wa siku hizi nao wanafanya vitu amazing kama hivi vya enzi zetu? am just curious
 
Yaani hata usemeje pole sikupi, nao wanavimbwanga vyao acha kabisa.
 
Roho mbaya hiyo sista, looh
Heaven Sent ana roho ya huruma ya kuzaliwa ndoa maana ananipa pole ya utundu wangu wa utotoni

BTW hivi hawa watoto wa siku hizi nao wanafanya vitu amazing kama hivi vya enzi zetu? am just curious
Hahaha mtoto ni mtoto tu. My lil sis yeye alikuwa anaonja kitu chochote mbele yake. Yani kila anachokiona anabugia tu fasta. Tushapata kesi kibao na yeye kwa mzee maana mara leo anywe mafuta ya taa, kesho kabugia mseto dawa, mara atake kuonja mafuta ya betri yani ni heka heka tu. Si unawajua wazee mlivyo, nyie mnaona tu kama sisi hatupo makini na mtoto, wazembe

Siku ya siku, bi mkubwa alihisi kuna panya kaingia ndani. So akamtegea dawa, kosa ni kwamba alichukua kipande cha samaki kizuri tu kwa matumizi ya binadamu, akapaka dawa akategesha kwenye kisosi. Ameingia bafuni kuoga, anatoka kipande cha samaki hakipo. Mmh machale kumcheza haiwezekani dk chache panya awe ashabeba samaki wote yule, kamuita dogo, kumuuliza uliingia chumbani dogo kagoma. Maza kampa kofi takatifu ikabidi kaseme kenyewe ndo kamechukua samaki Hahaha. Mama presha Tafuta maziwa fasta, kumpigia simu mzee fasta (ilikuwa weekend uzuri) wakamuwahisha hospital. Kufika hospital ikaonekana dawa haina nguvu kihivyo so wakampa tu nini sijui

Tatizo sasa mzee wangu ni anapenda utani, me sioni ndani. Ile hospital aloenda ndo huwa tunatibiwa hapo mara nyingi so doctors tumezoeana nao. Dr mmoja akaanza kumzingua mzee " eti daah ila mshkaji hiki si kiashiria kizuri, haiwezekani mtoto achukue hadi samaki wa panya, home lazima kuna uhaba wa nyama nyama. uwe unawanunulia nyama watoto bana", mzee akaishia tu kucheka.
Usiku tumekaa mzee akaanza kuniambia "daah ila watoto wanatiaga aibu jamani, huyu dogo kanifedhehesha leo, utadhani nyama halagi, kumbe anakula hadi basi", nilichekaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…