We acha tulakini kicheko chako kilimsahaulisha maumivu na kuanza kukutimua
Kumbe hiki kioaji chako umeanza nacho tangu utotoni eehh[emoji15]Nikiwa mdogo niliwahi kuiba hirizi iliyokupenda inapumua ya mzee mmoja mchawi aliyekuwa anaogopeka sana pale kijijini. .kwenda kuipasua nilikuta kinyonga aliyekatwa mkia alitweta kwa kukosa pumzi vizuri
Lile tukio lilikuwa kubwa na baya pale kijijini mpaka ikibidi nihamishwe
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji134]Kumbe hiki kioaji chako umeanza nacho tangu utotoni eehh[emoji15]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nikiwa darasa la tatu nilikuwa na kijipu vile vidogo kwenye makalio. Sasa niliogopa kusema maana watu waliokuwa wananizunguka walikiwa wababe nilihisi watanikamua bila huruma, nikauchuna.
Asubuhi naenda shule sijapewa hela nikaamua kuiba, hela za mboga zilikuwa zinakaa juu ya vile vikabati vya zamani vyembamba virefu. Nikapanda stuli nikafikisha mkono kwenye hela bahati mbaya ikasogea mbele kidogo ikabidi nijirefushe zaidi kumbe nimeshaharibu stepu pale kwenye stuli ikateguka!!! Niliporomoka nikatulia tako lile lile lenye jipu, nilipata uchungu flani amaizing kabisa hadi wakubwa wakanikuta hapo na siri zote zikafichuka
Mimi nilijipaka utomvu wa majani flani kule kwetu mamndenyi kwenye uume - wakaka wakubwa walitudanganya inaongeza ukubwa wa uume - niliumwaaaaaaaaaaa...lakini ilisaidia nilitahiriwa kabla ya kufikia umri wa kutahiriwa (kwa mila zetu).
ha ha hahaNikiwa darasa la tatu nilikuwa na kijipu vile vidogo kwenye makalio. Sasa niliogopa kusema maana watu waliokuwa wananizunguka walikiwa wababe nilihisi watanikamua bila huruma, nikauchuna.
Asubuhi naenda shule sijapewa hela nikaamua kuiba, hela za mboga zilikuwa zinakaa juu ya vile vikabati vya zamani vyembamba virefu. Nikapanda stuli nikafikisha mkono kwenye hela bahati mbaya ikasogea mbele kidogo ikabidi nijirefushe zaidi kumbe nimeshaharibu stepu pale kwenye stuli ikateguka!!! Niliporomoka nikatulia tako lile lile lenye jipu, nilipata uchungu flani amaizing kabisa hadi wakubwa wakanikuta hapo na siri zote zikafichuka
TupeNaona hapa hapanifai maana naeza haribu maudhui kwasababu mimi nina kituko cha ukubwani[emoji12] [emoji12]
Ila kuna utomvu fulani unafanya hiyo kazi ila uvumilie maumivu na kuwashwa
HahahahahahNakumbuka nilikua na mchezo wa kudandia magali kwa nyuna bila dereva kujua..bas siku moja nilidandia trector nikashindwa kushuka trector lilikua linafata mawe polini mbali kidogo...nlivoona naji yamenizidi ilibidi nijisalimishe tu kwa dereva...dereva akanambie twende wore mpaka anakochukua mawe tutarudi wot,kufika kule alinigonga bakora za kutosha.
Mda wa kurudi trector likaalibika ijabidi tulale ukouko..uku home nako natafutwa sana Aaah keshi yake nilivorudi nlikura njiti za kutosha..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Siuhitaji tena, nimeshakuwa mkubwa wa kutosha! #sidanganyiki
mbavu sina mumie!!!!!!!!!!!mimi nakumbuka nikiwa darasa la tatu niliku mpenzi sana wa samaki sasa mzee alikuwa kila week analeta samaki wa bichi mama anawakaanga fresh anatia ndani ya jokofu.. mimi hata unipe samaki mzima kiu hamu haishi .. nikawa na katabia cha kuokoa samaki nakula upande mmoja halafu namgeuza anaonekana ajaguswa wakati wa kupika mama akiuliza kila mtu anakataa.. siku moja jioni jioni nikafanya huo mchezo wangu wa udokozi acha mfupa unipalie kooni mama ndiyo akagundua mwizi wake ni nani kipigo nilichopata baada ya kutolewa mfupa aisee mpaka leo siwezi gusa kitu cha mtu bila kuomba,........... udokozi mbaya hasa wa samaki