Yummie
JF-Expert Member
- Sep 12, 2015
- 1,363
- 1,081
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Siuhitaji tena, nimeshakuwa mkubwa wa kutosha! #sidanganyiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Siuhitaji tena, nimeshakuwa mkubwa wa kutosha! #sidanganyiki
ha haaha nimejikuta nacheka walivyodondokaDahh.....
Hii ilinitokea ukubwani aiseeee....
Tukiwa chuo flani Jijini Dar, tulikua tukilala kwa room yetu na usiku tuliamka kujisomea.
Pembeni ya room yetu alikua jamaa na mpenziwake wapo kwa room moja na room mate wengine.
Kumbe jamaa walikua wakianza kufanya mambo yao, hawa too mate wangu walikua wakienda wanapanga viti then wanaanza kula chabo kwa kubadilishana (kwazam).
Sikuhiyo katika kula chabo, jamaa mmoja alianguka kutoka juu viti walivyo vipanga na ule mshtuko ulifanya kelele ambayo ilipelekea jamaa wote kukimbia na kujificha sehem tofauti na room kwetu.
Jamaa mwenye mpenzi alitoka kwa hasira na kuja moja kwa moja room kwetu na alinikuta pekeangu nikiwa najisomea Dahh......[emoji134], jamaa alini maindi sana na aliamini kwamba mimi ndie nilikua nikimla chabo na nika dondoka na kiti.
Kuanzia skuhiyo jamaa alinichukia sanaaaa..... hapo ilikua mwaka 1999.
Cha ajabu nilikuja kuitwa kwenye usahili wa kazi sehemu mwaka 2008, nilimkuta na yeye akiwa kati ya walio ni sahili. Jamaa alini recommend vizuri na nilipata kazi na Hakuwahi kuniuliza tukio lile
ha haaha utoto raha sana .. iala mama zetu walikuwa wanapiga sana aiseembavu sina mumie!!!!!!!!!!!
mie sitasahau nilikuwa mgonjwa nikapelekwa hosp na mama. enzi hizo sindano ni zile za ppf tena zinachemshwa kwenye stove ndo unadungwa, manake zilikuwa za kushea.
sasa nikiwa na maza nilicho fresh japo iliuma balaa afu si unajua vituo vya afya vya msing vilivyokuwa? manake havikuwaga na vitanda vya kuchomea sindano kama siku hizi so unasimama kisha unatupiwa mkuki wako.
kesho yake nikaambiwa niende alone kuchoma sindano manake dozi ilikuwaga ni sindano 5 miaka iyo. nilipofika njian nikajionea tabu si nikautana na rafiki zangu tukaenda kubembea? mbembea zenyewe si hizi za siku izi, kijijini ilikuwa karibu na mto kuna mti, na huo mti umeotea mti wa kutambaa ule ambao huwaga unaota kwa kupata sapoti ya mti mwingine sasa miziz yake ule unaotambaa ndio unaushika kwa mikono miwili unabembea nao. wenzako ndo wanakusukuma. asa mie kule kuumwa, mwili uko weak si nikajishika ili nibembee, ile nasukumwa tu nikenda mara ya kwanza ile narudi mara ya pili nguvu zikaisha nikadondoka kwenye jiwe. Jmani niliumwa acha tu. ikabidi sasa nijipeleke mwenyewe hosp manake nilijua nikifika home maza asingejali mkono umevunjia ama nini ningelemba mboko afu ndo nipelekwe hosp.
elezea basi vizuriKufumwa tunatiana wakati wa komborera.
ha ha ha ha ha ha ha ha wewe umenifanya nicheke mpaka watu wananishangaa hapa!!!!Nilichukua miba ya mtende huwa ni mikubwa hivi nikaichimbia nikiacha ncha kali kwa juu katika kinjia wanapita watu halafu nikajificha,akapita kaka mmoja akakanyaga nikacheka akaniona nilikimbizwa mpaka leo sikurudia japo hakunipata.
OMG !! Nilisababisha Ajali ya zaidi ya gari 15 katika ROUND ABOUT nilipo katiza kwa miguu !!Nikiwa natoka shamba huku nimebeba mihogo kichwani na uchovu na njaa, niliamua kufumba macho ili nisione ninakokwenda na nistukie nimefika au kukaribia
kitu fulani kikaniambaia nifumbue macho nikajikuta katikati ya barabara ila bahati hakukua na magari yanayokua au kwenda
http://www.google.com.sa/url?url=ht...4ILzAN&usg=AFQjCNEMMQVrkeg6_Pub0oqDCxGFFBPxsg
hili tukioa limekua likinirudia sana kichwani kwangu
Je, wewe unakumbuka kituko gani cha hatari au kukufurahisha ambacho hutokisahau maishani
Most likely haikuwa bongoOMG !! Nilisababisha Ajali ya zaidi ya gari 15 katika ROUND ABOUT nilipo katiza kwa miguu !!
Mkuu exactly nilikuwa na KaUshamba fulani...ilikuwa Paris miaka ya nyuma kumbe palikuwa na tunnel ya wapita kwa miguu chini.. mie nikakatiza juu kwa barabara...!!! loooh simahoni hayo na moshi na maji ya radiators kumiminika !!....Most likely haikuwa bongo
Nskumbuka ndugu yangu miaka ya hivi karibuni alivizia mama yake na baba yake awapo akatupia kitu hicho,da umeme zii,jamaa kachanganyikiwa,sasa anajua kwamba mama yake jion humuagizia kwenye mambo ya vikoba,sasa jamaa kafikilia hapa wazee wakirud wakiniagiza harafu umeme ukarud itakuwaje,jamaa katulia tutweeeeeee,walivyorud jamaaa akaongopea km anaharisha kweli wazaz wake walivyorudi wakawa na lengo lilelile la kumuagiza,sasa baada ya kuona kwamba jamaa anaendesha basi wakasema atampelekea asubuhi,jmaaa huku akipiga misele ya ndani chooni,ndani chooon,sasa wakati ile nakwenda chooni anafungua mlango "anasikia uwoooooooooo",jamaaa badala ya kuingia choooni mbio ndan mpka wakamshangaaa,alivyofanikiwa akasema mwanzo na mwishoDingi si aliwahi kunidaka na mikanda ya X pornograph darasa la tano kipindi hicho VHS nikala kichapo cha kolabo mama baba na broo na mikanda yote ikavunjwa vunjwa
Balaa sasa yule jamaa niliyemuomba mikanda alinidai karibu mwaka mzima na kila akinidaka nlikua nakula makonzi tu sina pakushtaki
Tei tei ndio nini??!!!Nilikuwa na tabia moja, kuwe na joto kuwe na baridi; me Ntalala bila kuvaa nguo kabisa na blanket langu juu.
Siku ya siku nimelala wee, kuja kushtuka saa 1 asubuhi, nimepanic hatari nimeshachelewa shule. Nilichofanya ni kukurupuka piga uniform ndrukiii shule (bahati nzuri home na shule hakukuwa mbali)
Kufika shule nikakuta ndo wanamalizia usafi, na uzuri friends zangu waliniwahia namba. Kuja kutahamaki sikumbuki kama nilinawa uso, ila mswaki sikupiga na tei te pia sikuvaa. Nikaona isiwe kesi nikaenda bombani nikanawa, ile kurudi nikawa najishtukia ukute domo linanuka. Nikaanza kupretend kuwa jino linauma so tukawa tunawasiliana kwa vimemo, navyopenda kustorisha sasa khaa niliumiaje. Kufika muda wa break ndo nikatamani nilie kabisa, rede imekolea nashindwa kucheza nisije nikapiga chejo nikamwaga radhi. Sijawahi kuwa na siku mbaya shuleni kama ile. Kuanzia siku ile nikawa nikilala, tei tei naiweka juu ya bag nisije nikasahau kuvaa asubuhi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Teh chupiTei tei ndio nini??!!!
Ingekuwa bongo hayo magari 15 yangemgonga yeye!!!!!Most likely haikuwa bongo
Teh teh..Ukarudije bro?Mimi niliwahi kupotea na mdundiko[mganda].....niliufuata bila kujijua kutoka magomeni hadi pugu!!!!!!!
Wakati unaiba ulikuwa unafikiria nn?Nikiwa mdogo niliwahi kuiba hirizi iliyokupenda inapumua ya mzee mmoja mchawi aliyekuwa anaogopeka sana pale kijijini. .kwenda kuipasua nilikuta kinyonga aliyekatwa mkia alitweta kwa kukosa pumzi vizuri
Lile tukio lilikuwa kubwa na baya pale kijijini mpaka ikibidi nihamishwe
Nilirudishwa na mzee mmoja hivi kufika kituoni tu nikampeleka yeye hadi home......nilichapwa na waya siku hio!!!! Sikuwahi tena kusogelea mdundiko.Teh teh..Ukarudije bro?
Kijana kumbe we ni bro wangu kwenye hizo vitu..Nakumbuka mi first time kuangalia nilikuwa form one..Basi baada ya kutoka kuangalia kila msichana ninayekutana naye namuona kama yupo uchi vileDingi si aliwahi kunidaka na mikanda ya X pornograph darasa la tano kipindi hicho VHS nikala kichapo cha kolabo mama baba na broo na mikanda yote ikavunjwa vunjwa
Balaa sasa yule jamaa niliyemuomba mikanda alinidai karibu mwaka mzima na kila akinidaka nlikua nakula makonzi tu sina pakushtaki