Kituko gani kilikuacha hoi kwa kicheko mnamo 6*6?

.......kuna mdada niliwahi kuwa na mahusiano naye, aseh akikolea muda ule anaokwenda kufikia kilele, anakuwa kama mtu anayepambana kuelekea kukata roho, then akifika kishindo anatulia kimyaaaa.

aseh nilidhani bahati mbaya, lakini nikafanya naye karibbu mara 5 hivi hali ndiyo hiyohiyo
NILIMWACHA NA SITAKI HATA KUMSIKIA😀😀😀😀😀😀😀. HILI SIYO UTANI WAKUU
Hahahahaaaaaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] hiyo nshakutanayo aisee niliombwa maji ya baridi usiku wa Manane maana MTU kama alisuffocate on bed baada ya kumwaga
 
Mie niliwahi kuvunja meza ya kulia (Dining Table) niliogopa sana mrembo nilidhani kavunjika mgongo maana ilikuwa ni kishindo kikubwa sana. Nikawa namuuliza uko sawa mgongo hauumi, hebu tembea nikuone kama unatembea sawa lol! Genye zote kwishney huku bado nikiwa na wasiwasi mrembo anaweza kuanza kusikia maumivu makali ya mgongo au viungo vingine lakini alikuwa salama. Kwa leo hii inatosha 🙂🙂🙂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie niliwahi kuvunja meza ya kulia (Dining Table) niliogopa sana mrembo nilidhani kavunjika mgongo maana ilikuwa ni kishindo kikubwa sana. Nikawa namuuliza uko sawa mgongo hauumi, hebu tembea nikuone kama unatembea sawa lol! Genye zote kwishney huku bado nikiwa na wasiwasi mrembo anaweza kuanza kusikia maumivu makali ya mgongo au viungo vingine lakini alikuwa salama. Kwa leo hii inatosha 🙂🙂🙂
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
.......kuna mdada niliwahi kuwa na mahusiano naye, aseh akikolea muda ule anaokwenda kufikia kilele, anakuwa kama mtu anayepambana kuelekea kukata roho, then akifika kishindo anatulia kimyaaaa.

aseh nilidhani bahati mbaya, lakini nikafanya naye karibbu mara 5 hivi hali ndiyo hiyohiyo
NILIMWACHA NA SITAKI HATA KUMSIKIA😀😀😀😀😀😀😀. HILI SIYO UTANI WAKUU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angezima sijui ungefanyaje atiii!?
 
Kabinti kengine kakishakolea kanasema NIMECHOKA, siku za mwanzoni nikawa nakaacha kumbe ndio kakisema hivyo kanataka [emoji39] [emoji39]
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nakumbuka kitambo tulikua tunafanyia kichakani .ile ndo nataka kojoa cha kwanza tukafumwa.waliotufuma na wao wakakimbia na sisi tukakimbia.ikabidi kusimama na kuanza kucheka
Nafwaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa walikua wanakimbia nini?
 
Mie niliwahi kuvunja meza ya kulia (Dining Table) niliogopa sana mrembo nilidhani kavunjika mgongo maana ilikuwa ni kishindo kikubwa sana. Nikawa namuuliza uko sawa mgongo hauumi, hebu tembea nikuone kama unatembea sawa lol! Genye zote kwishney huku bado nikiwa na wasiwasi mrembo anaweza kuanza kusikia maumivu makali ya mgongo au viungo vingine lakini alikuwa salama. Kwa leo hii inatosha 🙂🙂🙂
Tupe nyingine bana
 
Back
Top Bottom