nilishawahi kuvunja kioo cha kabati la jirani wakati nikiduu na house girl wake,hatukuweza kwenda chumbani so ilikuwa fasta fasta sebuleni,wakati natafuta balansi ya kukita vidole gumba vya miguu chini ili nipate balance ya kusimamia shoo,mara nikasukuma stuli ikagonga kioo cha kabati la vyombo,aisee,kila kitu kiliishia pale pale.
cha kufanya tukakiegesha vizuri halafu tukaegeshema meza.tukasubiri watoto waliopotoka shule akavunga anadeki so sebuleni pakawa shaghalabaghala,ili mtoto aweze kupita kwenda chumbani ikabdidi amwambie asukume meza apate upenyo,ile mtoto anasukuma meza tu kioo pwaaaa,ikawa sasa mtoto ndo kapasua kioo.
kesi kwishney