Daaah kitambo sana bush asee,nipo na mtt porini tumetandika manyasi na khanga kwa juu tunafany yetu yaan wazungu walikua wanakaribia kuja ghafla namuona chatu yupo jilan kabsa na sie,daah nilipata ganzi isiyo elezeka,kwa kua niliganda kumuangalia na mwenzang kuchek kamuona uoga umemzid mpk kawa hawez ht kunyanyua,ilibid nimbebe mgongon mkp mbali na tukio then akaenda kwao,nikaenda kutoa taarifa mtaani wakaja kumuua kumbe alishameza mbuzi alikua hana hata uwezo wa kukimbia au kumeza tena,sitasahau kamwe ile kitu