Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 5,957
- 7,505
Mi condoms sizitaki kabisaaa! Zinachubua sana....
Hii ni kweli sawia, ila pia unaweza kuipaka water soluble lubricant kama vile KY kuongeza utelezi kuepusha michubuko na kukauka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi condoms sizitaki kabisaaa! Zinachubua sana....
Oooh! Hiyo nzuri
Si ungo aisee!!!
Yaani kitu unakifeel hadi damu inavyopita kwenye mishipa ya dushe... [emoji7]
Zimeshafika zote 40 kwahyo nimeanza kuhesabu upyaZa mwizi ni 40
HahahaaWigi lilivulika nikaona mabutu matatu yamesukwa. Machafu hayo
Cjajua mkuu, tupo kwenye shughuli mara nikakuta mtu analegea taratibu mara chali, dah nilihisi kufa kufa siku ileKipi kilichomfanya mpk kuzimia
Ha ha ha Kwann sasa mkuu ulimwacha.......kuna mdada niliwahi kuwa na mahusiano naye, aseh akikolea muda ule anaokwenda kufikia kilele, anakuwa kama mtu anayepambana kuelekea kukata roho, then akifika kishindo anatulia kimyaaaa.
aseh nilidhani bahati mbaya, lakini nikafanya naye karibbu mara 5 hivi hali ndiyo hiyohiyo
NILIMWACHA NA SITAKI HATA KUMSIKIA😀😀😀😀😀😀😀. HILI SIYO UTANI WAKUU
Sema ukweli tuu, hazina raha kama kavukavuMi condoms sizitaki kabisaaa! Zinachubua sana....