Kituko gani ulichokifanya ukiwa shule

Kituko gani ulichokifanya ukiwa shule

dedon

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
1,507
Reaction score
2,063
habar zenu wana jf...hua nikiwaza life langu la shule hua nafurahi sana coz nilienjoy sana hasa O level

nilikua nasoma boardin flan hapa dsm bahat mbaya iko karbu na makazi ya watu pia kulikua na wanafunzi wa kutwa(day) ilikua kwenye miaka ya 2000's kabla wazaramo wenye mji wao kuuukimbia kwakua kulikua na wenzetu wa day wao kaz yao kubwa ilikua kutuletea ratiba ya vigodoro kila weekend dah achana na hivi vya sasa vinavyojaza wahuni wavuta bhangi na wadada wa mjin masister duu vya enzi hvo vilikua htr sana
sitosahau siku tulipewa ratiba tukaenda kufika tukakuta mziki umewekwa nje na madada wameshawehuka kwa mizuka halafu wamevaa khanga tu wengne zimeloa hapo niko form 3 uzuri nilikua na mwili japo mtt na nguo za nyumbani nilizotupia hata maza akat nimbambie lyf lilikua tamu aisee kwasababu mji ulikua bado basi vichaka kila mahali ni unamshka tu mkono unaembambia unaingia nae kichakan ukitoka ushamwaga viwili mnaendelea tena unaeza kumbadilisha nae pia ukamvuta kichakan dah ikawa ndo mchezo wetu kila ijumaa usiku na jmos usiku zetu ni kutoroka tu

ikafika kipindi weeken imefika hatuna ratiba tunatoka hvo hvo tunakaa mlimani tunasikiliza sauti tunazifata mpaka tunakipata,,,ikiwa jtatu unawaza ijumaa itafika lini dah kamchezo kaliniharibu sana hata perfomance ikashuka tulivofika form four tukadakwa ikajulikana wale watukutu wote wakufukuzwa tukaachwa sie ambao ilionekana ndo mara ya kwanza tukaandikwa kwenye black book(ambacho mpaka leo siamin kama kina exist) ndo ikawa ahueni yangu nikatulia nikafaulu nikaenda adv then chuo mpaka sasa nina kazi yangu
yapo matukio meng sema hili hua silisahau

je ww ulikua na tukio gan shule hutolisahau???
 
Nilimchapa mwalimu viboko kichawi akiwa hanion na nikamgegeda mtoto wake
 
Nilikuwa Headmaster japo headmaster mwenyewe alikuwepo nadhani mnajua namaanisha nini.
 
Daah ktambo,o level nldate na teacher aliekua field.alkua mkali balaa
 
hahahahah, nikiandika kituko changu, (very funny) nitakuwa nimeweka ID yangu wazi, kwa wale niliosoma nao, na ninaamini hakijawahi kutokea sehemu nyingine yoyote.
 
M nlikua kwe pepa la mock advance iyo nlikua na nondo so ilipofika muda wa kuitumia nondo yangu nkajisahau mara paap tcha kaibuka kunikuta na kikaratasi akaniomba me nilichokifanya nilikitia mdomoni na kukitafuna tcha akanipiga kofi la shavuni ndo nkaongeza kasi ya kutafuna mpk nkakimeza nkawa nimefuta ushahidi hahahaaaa advance life iyo
 
Nikiwa form III na vijana wangu watatu tulisepa na sufuria la wali na nyama porini, nakumbuka tulitafutwa na shule nzima mpaka mademu tukaona nyomi lilivyotawanyika porini kutusaka ikabidi tuhamishie mzigo kwenye ndoo na kuacha masufuria, tukiwa kwa mbali tunawachora wanafunzi wanaotutafuta balaa lilikuwa pale walipoyaona masufuria tuliyoyaacha na msosi kidogo ugomvi mkubwa ulizuka mpaka watu kupigana. Baada ya week ikajulikana nani walifanya tukio kilichotukuta ni siri yetu kwa sababu shule ilikuwa ni ya Jeshi tulikabidhiwa kwa MP wawili Coplo DAVI na Sajent J4 aisee tulipewa dozi kama makuluta waliotoroka mazoezi, Ka baada ya masaa manne tukiwa hoi tukapelekwa jikoni na kukabidhiwa sufuria la ugali na sado la maharage eti tule mpaka tumalize.... wacha niishie hapa maana hiki hakikuwa kituko bali Juto
 
Samahani kwa comment yangu, najua inaweza kukuhudhi. Namdharau sana mtu anayeingia kwenye mtihani na vijikaratasi vya kumsaidia kujibu maswali.
 
Nakumbuka nilipewa kazi ya kudesign ramani ya shule nikaiandaa vzr ila walivyonipa adhabu kupigwa stik mbele ya master parade nikaenda kuwapa copy ambayo vyoo vya shule vipo eneo la assembly alafu hakuna mpangilio wa barabara wala barabara kuu ya kuingilia na kutokea hadi mkuu wa shule nilipomuonesha ramani org nzuri nikawaambia hii kuna mtu anaiuza wakanipa hela ndio nikawaachia
 
habar zenu wana jf...hua nikiwaza life langu la shule hua nafurahi sana coz nilienjoy sana hasa O level

nilikua nasoma boardin flan hapa dsm bahat mbaya iko karbu na makazi ya watu pia kulikua na wanafunzi wa kutwa(day) ilikua kwenye miaka ya 2000's kabla wazaramo wenye mji wao kuuukimbia kwakua kulikua na wenzetu wa day wao kaz yao kubwa ilikua kutuletea ratiba ya vigodoro kila weekend dah achana na hivi vya sasa vinavyojaza wahuni wavuta bhangi na wadada wa mjin masister duu vya enzi hvo vilikua htr sana
sitosahau siku tulipewa ratiba tukaenda kufika tukakuta mziki umewekwa nje na madada wameshawehuka kwa mizuka halafu wamevaa khanga tu wengne zimeloa hapo niko form 3 uzuri nilikua na mwili japo mtt na nguo za nyumbani nilizotupia hata maza akat nimbambie lyf lilikua tamu aisee kwasababu mji ulikua bado basi vichaka kila mahali ni unamshka tu mkono unaembambia unaingia nae kichakan ukitoka ushamwaga viwili mnaendelea tena unaeza kumbadilisha nae pia ukamvuta kichakan dah ikawa ndo mchezo wetu kila ijumaa usiku na jmos usiku zetu ni kutoroka tu

ikafika kipindi weeken imefika hatuna ratiba tunatoka hvo hvo tunakaa mlimani tunasikiliza sauti tunazifata mpaka tunakipata,,,ikiwa jtatu unawaza ijumaa itafika lini dah kamchezo kaliniharibu sana hata perfomance ikashuka tulivofika form four tukadakwa ikajulikana wale watukutu wote wakufukuzwa tukaachwa sie ambao ilionekana ndo mara ya kwanza tukaandikwa kwenye black book(ambacho mpaka leo siamin kama kina exist) ndo ikawa ahueni yangu nikatulia nikafaulu nikaenda adv then chuo mpaka sasa nina kazi yangu
yapo matukio meng sema hili hua silisahau

je ww ulikua na tukio gan shule hutolisahau???
Dah mkuu ulisoma pugu?, huu ndio ulikuwa mchezo wetu pale.
 
Nikiwa form two mida ya saa saba mchana mwalimu wa chemistry aliniita mbele ya darasa wakati mashine ( abdalah kichwa wazi) amesimama basi darasa zima likaangua kicheko.
mzee ukiaibika sana aisee
 
M nlikua kwe pepa la mock advance iyo nlikua na nondo so ilipofika muda wa kuitumia nondo yangu nkajisahau mara paap tcha kaibuka kunikuta na kikaratasi akaniomba me nilichokifanya nilikitia mdomoni na kukitafuna tcha akanipiga kofi la shavuni ndo nkaongeza kasi ya kutafuna mpk nkakimeza nkawa nimefuta ushahidi hahahaaaa advance life iyo
ulitisha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nikiwa form III na vijana wangu watatu tulisepa na sufuria la wali na nyama porini, nakumbuka tulitafutwa na shule nzima mpaka mademu tukaona nyomi lilivyotawanyika porini kutusaka ikabidi tuhamishie mzigo kwenye ndoo na kuacha masufuria, tukiwa kwa mbali tunawachora wanafunzi wanaotutafuta balaa lilikuwa pale walipoyaona masufuria tuliyoyaacha na msosi kidogo ugomvi mkubwa ulizuka mpaka watu kupigana. Baada ya week ikajulikana nani walifanya tukio kilichotukuta ni siri yetu kwa sababu shule ilikuwa ni ya Jeshi tulikabidhiwa kwa MP wawili Coplo DAVI na Sajent J4 aisee tulipewa dozi kama makuluta waliotoroka mazoezi, Ka baada ya masaa manne tukiwa hoi tukapelekwa jikoni na kukabidhiwa sufuria la ugali na sado la maharage eti tule mpaka tumalize.... wacha niishie hapa maana hiki hakikuwa kituko bali Juto
shule za jeshi ni balaaa dah

ungemalizia tu mkuu
 
Dah mkuu ulisoma pugu?, huu ndio ulikuwa mchezo wetu pale.
hapana nashndwa kuieka shule coz nilosoma nao wakiunganisha na uzi zangu wanaeza kuijua id yangu
 
Back
Top Bottom