Kituko mashindano ya Miss Universe

Miss world washindani wanatoka hapa hapa duniani Tu lakini miss universe wengine wanatoka Jupiter, mars, Pluto, Neptune na sayari zote
hahahahahahaha hahahahahahah uuuuuuwih, ahsante kwa kunirekebishia usiku wangu
 
Ila Miss Colombia ni mzuri zaidi

Steve Harvey amekuwa gumzo ...hii incident itabaki midomoni mwa watu wengi kwa mda mrefu
Ila ni kweli kabisa miss Colombia ni mzuri zaidi naunga mkono hoja japo napendaga sana movie za kiphilipino
Basi inawezekana Steve alipanda jukwaani huku akiwa whole about Miss Colombia! Be very careful kuwa absorbed na kitu wakati unatakiwa kusema jambo fulani... unaweza kujikuta unalisema jambo lile lile lililoku-absorb badala ya kile ambacho ndo hasa ulitakiwa kukisema!
 

Kwenye mashindano ya Tusker project fame ma~Mc wawili Sheila Mwanyigha na Mganda nimemsahau jina walijibishana kidogo wakati yamefikia hatua ya nusu finale.

Inavyoonyesha matarajio ya Mganda hayakuwa kama alivyotegemea akataka kuwaka Sheila akamkaripia!!

Inawezekana Steve mawazo yote yalikuwa kwa Miss Colombia, na labda "akakumbuka Tanzania Mwenyekiti wa Nec akishamtangaza mshindi hakuna kupinga"!!! Alipotangaza tu majaji wakamdaka wakamwambia umechemka rudi jukwaani!!
 
Huu ni mchezo ulichezwa ili kuipa promo miss universe.kumbuka siku hiyohiyo miss world ilifanyuka pia ila cha kuchekesha watu hata hawamjui mshindi wa miss world ila kutokana na hili tukio la stive mpka na mimi nimemjua miss universe 2015
 
Miss world washindani wanatoka hapa hapa duniani Tu lakini miss universe wengine wanatoka Jupiter, mars, Pluto, Neptune na sayari zote
Mungu akupe maisha marefu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mhh miss colombia mzuri hatari sema pia anaweza nufaika na deal nyingi zaidi ya aliyetawazwa mshindi. Maana tayari kwa tukio hilo limemwongezea mvuto Cc miss neddy.
 
Tatizo Stevie ni mapepe sana analeta ukomedi wake hadi kwenye event zenye kuhitaji u serioussness.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…