Kamjingijingi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2009
- 806
- 129
Huyo mzuri mtefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahaha hahahahahahah uuuuuuwih, ahsante kwa kunirekebishia usiku wanguMiss world washindani wanatoka hapa hapa duniani Tu lakini miss universe wengine wanatoka Jupiter, mars, Pluto, Neptune na sayari zote
Miss Universe inamilikiwa na bilionea Donald trumptofauti kati ya miss universe na miss world ni nini jaman?
Ila Miss Colombia ni mzuri zaidi
Steve Harvey amekuwa gumzo ...hii incident itabaki midomoni mwa watu wengi kwa mda mrefu
Basi inawezekana Steve alipanda jukwaani huku akiwa whole about Miss Colombia! Be very careful kuwa absorbed na kitu wakati unatakiwa kusema jambo fulani... unaweza kujikuta unalisema jambo lile lile lililoku-absorb badala ya kile ambacho ndo hasa ulitakiwa kukisema!Ila ni kweli kabisa miss Colombia ni mzuri zaidi naunga mkono hoja japo napendaga sana movie za kiphilipino
Basi inawezekana Steve alipanda jukwaani huku akiwa whole about Miss Colombia! Be very careful kuwa absorbed na kitu wakati unatakiwa kusema jambo fulani... unaweza kujikuta unalisema jambo lile lile lililoku-absorb badala ya kile ambacho ndo hasa ulitakiwa kukisema!
Mungu akupe maisha marefu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Miss world washindani wanatoka hapa hapa duniani Tu lakini miss universe wengine wanatoka Jupiter, mars, Pluto, Neptune na sayari zote
Miss Universe inamilikiwa na bilionea Donald trump
Huyo MC ana udungu na Jaji Lubuva?
Hapana...ni ndugu yake Jecha
Ila Miss Colombia ni mzuri zaidi
Steve Harvey amekuwa gumzo ...hii incident itabaki midomoni mwa watu wengi kwa mda mrefu
Hapo umeniacha...kula njugu?
Philipine mzuri sn