Kimsingi Azam walikuwa sahihi.Patachimbika!!
Ndo maana mpira wetu hauendelei kuna figisu figisu nyingi zinafanywa kwenye mpiraMume wa simba,ilikua lazima ashuke
azama wameweka table kufuatana na points na walipofungana points na magoliwameweka timu kufuatana na alphabetically. yaani Kagera =K ambayoni herufikabla ya S.Azam tv wamezingua.
Kanuni zinasema head to head itaangaliwa ikiwa goals difference mtalingana Sasa hapo huwezi fika huko wakati Kagera anawastani mzuriKagera nahisi kashushwa kwa kigezo cha H2H
Tulieni dawa iwaingie vizuri...kama kosa la kagera ni kuwafunga simba kosa la stand ni lipi...ni kuwafunga yanga???TFF wote ni Simba. Kosa la Kagera Sugar ni kuwafunga Simba home and away.
Yanga imefanya nini?Tulieni dawa iwaingie vizuri...kama kosa la kagera ni kuwafunga simba kosa la stand ni lipi...ni kuwafunga yanga???