Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana kabla ya game ya jana Stand alikuwa na GD-9.Wanatuchanganya
stand kabla ya mchezo wa leo alikuwa na GD -10 Kagera alikuwa na GD -10.
Matokeo ya leo kagera 1_1, stand 0_2
Maneno ya mkosaji haya... pamoja na hayo Simba ni bingwa na kagera yuko red period huko.Kagera waliendewa mpk fifa na mikia,hapo inatumika kila namna kagera ashushwe hata kinguvu ili tu timu pendwa na tff ipate kupumua
Kagera wanasemaje?...Wameishusha kagera kimakusudi .
Azam TV walikuwa sahihi.
Zamuzamu mkuu....Daraja anashuka kagera...afu povu wanatoa washabiki wa yanga....kagera wenyewe hawalalamiki...hahaaaahYanga imefanya nini?
Huyo jamaa yenu anayewapa kiburi ngoja afanyiwe tena tuone jeuri yenu.
Pumbavu sana hao na washuke; kwa wengine wanakubali vipigo kwetu wanabana;Simba fc watafutahi kagera fc kushuka walau wapumzike kwa vipigo
Kagera wameshindwa wenyewe walidhani points 6 za simba zitawabaikishaNdo maana mpira wetu hauendelei kuna figisu figisu nyingi zinafanywa kwenye mpira
Mbona wanasema kashuka.Kagera sugar ana GD 10 na stand GD 11
Kagera hajashuka
Yanga haijawahi kufungwa na timu za mikoani Taifa toka 2009Yanga na wenyew watafurahi stendi ashuke ili wapumzike vipigo
Kagera kashuka.. H2H imemtoa.Kagera sugar ana GD 10 na stand GD 11
Kagera hajashuka
Kwa TPL H2H inatumika baada ya Point na GD kulinganaKagera kashuka.. H2H imemtoa.
Tiiefuefu hii ambayo hata kupanga ratiba tu imekuwa mtihani!Mkanganyiko upo kwenye kumbukumbu za matokeo, inamaana TFF na Azam wanashindwa kuwa na software ambazo ukiingiza tu matokeo msimamo unajipanga tu automatic