Kituko: TFF yaishusha Kagera Sugar ,Azam tv yaishusha Stand Utd

Kituko: TFF yaishusha Kagera Sugar ,Azam tv yaishusha Stand Utd

Hii kesi lazima iende CAF au FIFA. Ikibidi ifike CAS. Hatuwezi kuendeshwa na Msomali.
 
Hawa si ndio wanampiga mnyama nje ndaniiiiiii!!!!!!!!!haha hahaha hahaa kiboko ya mnyama fi...ti...naaaa!!!!
 
Wanatuchanganya
stand kabla ya mchezo wa leo alikuwa na GD -10 Kagera alikuwa na GD -10.
Matokeo ya leo kagera 1_1, stand 0_2
Hapana kabla ya game ya jana Stand alikuwa na GD-9.
Kagera alikuwa na GD-11
Jana Stand kapigwa 2-0... Kagera akadroo 1-1.
Maana yake sasa GD inakuwa -11 kwa wote wawili.. kinachofata ni H2H.
 
Kagera waliendewa mpk fifa na mikia,hapo inatumika kila namna kagera ashushwe hata kinguvu ili tu timu pendwa na tff ipate kupumua
Maneno ya mkosaji haya... pamoja na hayo Simba ni bingwa na kagera yuko red period huko.
Hakuna timu isiyofungwa.. Zahera anawapoteza
 
Yanga imefanya nini?
Huyo jamaa yenu anayewapa kiburi ngoja afanyiwe tena tuone jeuri yenu.
Zamuzamu mkuu....Daraja anashuka kagera...afu povu wanatoa washabiki wa yanga....kagera wenyewe hawalalamiki...hahaaaah
 
Simba fc watafutahi kagera fc kushuka walau wapumzike kwa vipigo
Pumbavu sana hao na washuke; kwa wengine wanakubali vipigo kwetu wanabana;

Nimefurahi kama Swansea ya england ilivoshukaga maana kila mwaka arsenal tulikuwa tukichezea vipigo toka kwao
 
Tuelewe Msimamo wa TPL upi uko sahihi???
Msimamo wa Azam Tv na Flash score wote wanaonesha GD, Kagera -10 Stand -12. Msimamo ya TFF Kagera na Stand wote GD -11.
 
Flash Score
Screenshot_2019-05-29-10-55-45.jpeg
 
Mkanganyiko upo kwenye kumbukumbu za matokeo, inamaana TFF na Azam wanashindwa kuwa na software ambazo ukiingiza tu matokeo msimamo unajipanga tu automatic
 
Mkanganyiko upo kwenye kumbukumbu za matokeo, inamaana TFF na Azam wanashindwa kuwa na software ambazo ukiingiza tu matokeo msimamo unajipanga tu automatic
Tiiefuefu hii ambayo hata kupanga ratiba tu imekuwa mtihani!
 
Back
Top Bottom