Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Hahahaha angalia fainali 3 za mwisho kuanzia 2016 2017 na 2018 nilizokuna na Chelsea nani alimnyanyasa mwenziei;Na unachezea wa Chelsea *****
Mjomba hivyo ndo vituko vya ligi yetu. Tulijua haya yatatokea tu tulipoona mwenendo wa ligi mara huyu ana viporo 20 mwingine ana viporo 5 mwingine hana kiporo Tulijua mengi yanakuja Bado Tutaona mengi tu, kwa TFF HII!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Uongozi wote wa TFF na BODI YA LIGI ni wanachama wa Simba scSimba anahusikaje tena
We bwege mimi na ww nani mbumbumbu sasa,umeona aibu yenu ya kutaka kuishusha kagera ilivyowaacha uchi!Acha umbumbuta wa soka,kwa nini hakushika nafasi za juu? Kang'ang'ania nafasi za chini,hii inaonyesha uwezo wake ni mdogo.Ashuke na wanaostahili wapande.
Uongo mtupu,Goal difference zinafanana...ukienda kwenye head to head stand ana advantage as alimfunga kagera 3-1 kaitaba na shinyanga ilikua 1-1...kwa mantiki hiyo kagera anashuka
Unai Emery ni baba wa Europa au vipi mkuu. Pole sana.Hahahaha angalia fainali 3 za mwisho kuanzia 2016 2017 na 2018 nilizokuna na Chelsea nani alimnyanyasa mwenziei;
Alafu unai emery ndio baba wa Europa
Kwaiyo Leo lazima London iwe red
Fair game; nimekubali kakaUnai Emery ni baba wa Europa au vipi mkuu. Pole sana.
Arsenal wamecheza kama vile hawakuwa na malengo yoyote. Bado sanaFair game; nimekubali kaka