Kituko: TFF yaishusha Kagera Sugar ,Azam tv yaishusha Stand Utd

Kituko: TFF yaishusha Kagera Sugar ,Azam tv yaishusha Stand Utd

Na unachezea wa Chelsea *****
Hahahaha angalia fainali 3 za mwisho kuanzia 2016 2017 na 2018 nilizokuna na Chelsea nani alimnyanyasa mwenziei;

Alafu unai emery ndio baba wa Europa
Kwaiyo Leo lazima London iwe red
 
Acha umbumbuta wa soka,kwa nini hakushika nafasi za juu? Kang'ang'ania nafasi za chini,hii inaonyesha uwezo wake ni mdogo.Ashuke na wanaostahili wapande.
We bwege mimi na ww nani mbumbumbu sasa,umeona aibu yenu ya kutaka kuishusha kagera ilivyowaacha uchi!
 
Goal difference zinafanana...ukienda kwenye head to head stand ana advantage as alimfunga kagera 3-1 kaitaba na shinyanga ilikua 1-1...kwa mantiki hiyo kagera anashuka
Uongo mtupu,
Umeeleza usichokijua!
Kanuni unazifahamu kweli?
 
TFF na bodi ya ligi walijipanga sana kuibeba timu inayoitwa fifa fc,mbumbumbu kwa kila hali ,
 
Back
Top Bottom