LGE2024 Kituko, Wagombea wa CCM wapiga magoti kuomba radhi kwa kutotimiza majukumu kipindi kilichopita

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Wagombea uongozi wa mitaa kwa kata ya Salasala kwa ticket ya CCM wakiwa wamepiga magoti kuwaomba msamaha wananchi wa kata hiyo wa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.

20241124_103800.jpg

Pia soma:LIVE - Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Wagombea uongozi wa mitaa kwa kata ya Salasala kwa ticket ya CCM wakiwa wamepiga magoti kuwaomba msamaha wananchi wa kata hiyo wa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.

View attachment 3160081
Yaani Kama hapo ,unapita unamtia mmoja mmoja kibao Cha shavu alafu unawaambia haya endeleeni na kampeni
 
Wagombea uongozi wa mitaa kwa kata ya Salasala kwa ticket ya CCM wakiwa wamepiga magoti kuwaomba msamaha wananchi wa kata hiyo wa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.

View attachment 3160081
Huyu mwenye kofia nyeusi mbona anatucheka wananchi.....
 
Sasa wanapiga magoti ya nini wakati Mchengerwa na Tamisemi yake imeshawabeba ? 🤣🤣🤣
 
Wagombea uongozi wa mitaa kwa kata ya Salasala kwa ticket ya CCM wakiwa wamepiga magoti kuwaomba msamaha wananchi wa kata hiyo wa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.

View attachment 3160081
Ndugu wananchi mlioombwa radhi,msiwachague hao kwa maana nyingine nyoeni vichwa vyao ngumu na wachagueni wagombea wa vyama vingine iwe fundisho kwao.Na wachape kazi kweli kweli pindi wakipewa nafasi kuwahudumia wananchi.
 
Wamshukuru sana Mchengerwa na OR TAMISEMI wanabebwa sana aisee lakini haki ingetendeka CCM wengi wangekaa benchi kujifunza nini vyama vingine vinatekeleza wajibu wake kwa Wananchi.
Sema tu sisi Watanzania ni kondoo! Tulitakiwa tulisimamie hilo la kukata watu hovyo hovyo!
 
Back
Top Bottom