Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni wewe kabisa.😂umelogwa gentleman, tena leo leo asubuh 🐒
hakika mkuu wote wamekaa kinjaa njaa t na utapeliHakuna sura ya kuletea mwananchi maendeleo hapo
Hii nchi ina mambo ya kipimbi sana. Sijawahi kuona mijitu yenye akili za kikwuma kama miCCM.Wagombea uongozi wa mitaa kwa kata ya Salasala kwa ticket ya CCM wakiwa wamepiga magoti kuwaomba msamaha wananchi wa kata hiyo wa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.
View attachment 3160081
Pia soma:LIVE - Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
mbona watanzania tunawakataa sana kwenye sanduku la kura...ila ushawasikia wenye dola yao wanaohesabu kura na kutangaza matokeo ndio kuchagua nani atawale kitendo cha sisi kupiga kura ni kuwapa uhalali tu wanaemtaka waoSema tu sisi Watanzania ni kondoo! Tulitakiwa tulisimamie hilo la kukata watu hovyo hovyo!
Mzee Trumpet alishaleta proposalI think.....
This country should be colonized again..🤔
Sio i think bali, inapaswa tena na viboko juu.I think.....
This country should be colonized again..🤔