Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
What is Chopper? Ni kweli watu wa Mwanza watoke majumbani kwenda kuona chopper? Mmewaona ni wajinga kiasi Gani Hadi mrundikane kuwaringishia chopper? Watu wanataka sera na siyo taarabu na mipasho.
Mmepewa uwanja na halafu mnaishia kuongea mipasho tu. Wengine wazee wanaongea macho yamewatoka masikini utadhani wana sera nzuri kumbe mambo ya mwambao tu. Hebu niwaulize nyinyi kwa akili yenu mnaona mtatoboa kweli?
Rais wa Kenya mstaafu Mwai Kibaki aliwahi sema" how do you become clever suddenly?" je nyinyi mmepata wapi vipesa vya kukodi chopper ? Wakoloni walitumia waafrika wenzetu kudhoofisha himaya na falme za watemi wetu. Ndivyo na wakoloni wa kijani wanavyotumia watu njaa ili kudhoofisha upinzani wa kweli. Lakini hii imebuma na mtazimika muda si mrefu. No body clever spares his/her time for shithole party. Hamuwezi na mtagawana mbao soon