Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Unataka kulinganisha kikao cha kamati kuu ya chadema na mkutano wa hadhara wa Chauma?Acha umbea. Twambie majibu ya Kamati Kuu ya Chadema leo kuhusu Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania yanasemaje?
Acha kushoboka dogo. Leo kulikuwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema Taifa. Na Erythrocyte,Mwamba kabisa ndani ya Chadema, alitwambia humu kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa John Heche,niliyesoma nae course moja SAUT na nakaa naye hapa Mtaa wa Majengo, Mkolani, Jijini Mwanza atatoa taarifa Rasmi ya maazimio ya kikao hicho.Unataka kulinganisha kikao cha kamati kuu ya chadema na mkutano mkuu wa hadhara wa Chauma?
Wananchi wameamka wengi wanasema wataenda kuwazomea na Chopa yao😁Watu watajaa kushangaa chopa sio sera.
Ninyi Chauma endeleeni kuumwaAcha kushoboka dogo. Leo kulikuwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema Taifa. Na Erythrocyte,Mwamba kabisa ndani ya Chadema, alitwambia humu kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa John Heche,niliyesoma nae course moja SAUT na nakaa naye hapa Mtaa wa Majengo, Mkolani, Jijini Mwanza atatoa taarifa Rasmi ya maazimio ya kikao hicho.
Sasa nauliza,mbona mpaka sasa naenda kulala na Konyagi juu sijaona majbu ya hicho kikao? Au wamevurigana tena!? Unajua huyu jirani yangu John Heche ni mtata sana na HAPENDWI hapa mtaani?
Genge la madalali🤣What is Chopper? Ni kweli watu wa Mwanza watoke majumbani kwenda kuona chopper? Mmewaona ni wajinga kiasi Gani Hadi mrundikane kuwaringishia chopper? Watu wanataka sera na siyo taarabu na mipasho.
Mmepewa uwanja na halafu mnaishia kuongea mipasho tu. Wengine wazee wanaongea macho yamewatoka masikini utadhani wana sera nzuri kumbe mambo ya mwambao tu. Hebu niwaulize nyinyi kwa akili yenu mnaona mtatoboa kweli?
Rais wa Kenya mstaafu Mwai Kibaki aliwahi sema" how do you become clever suddenly?" je nyinyi mmepata wapi vipesa vya kukodi chopper ? Wakoloni walitumia waafrika wenzetu kudhoofisha himaya na falme za watemi wetu. Ndivyo na wakoloni wa kijani wanavyotumia watu njaa ili kudhoofisha upinzani wa kweli. Lakini hii imebuma na mtazimika muda si mrefu. No body clever spares his/her time for shithole party. Hamuwezi na mtagawana mbao soon
Mimi ni CCM lialia mwenye kadi ya kidijitali.Ninyi Chauma endeleeni kuumwa