Kituko

Joined
Nov 23, 2017
Posts
42
Reaction score
99
NI USHAURI TU

*ukiona majirani wanakusumbua, we nunua ndala za kike za 2000, weka mlangoni kwako, fungulia mziki na ufunge mlango kisha washa data usome ujinga wa Bamwanga Jr huku WhatsApp

Watanzania tunaheshimu chumba cha bachelor kikiwa na ndala za kike

[emoji2441][emoji2441][emoji2441][emoji2441][emoji2441]

Bamwanga Jr
 
Ha ha ha kwwr kabisaaa
 
Tena zikionwa wadada wa hapo tempo huwa wanajishetua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…