Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Akimnyima mkewe nafasi usiku atalala na nani 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanyeni tu mkalime.Ni zaidi ya njaa Kali jaman huku kwetu waalimu wamepachikana kwenye nafasi kama hawana mishahara vile sijui jobless tuishije
Poleni sanaNi zaidi ya njaa Kali jaman huku kwetu waalimu wamepachikana kwenye nafasi kama hawana mishahara vile sijui jobless tuishije
Hapa pamejaa majungu na husuda tu.ALERT [emoji599] [emoji599] [emoji599]
View attachment 2307084View attachment 2307083View attachment 2307085
Huko katika kata ya kitulo mkoani njombe aliyekuwa mwenyekiti wa usahili Agizo chapel tweve ambaye ni mwl.mkuu kampitisha mke wake Vailet sanga nawakinga wenzao naanajisifia hawez waacha wazawa..
amempitisha mtu aliyeomba usimamizi wamaudhui kuwa karani Okraim ngailo majina mengine mengi mchongo wa rushwa tu.
Jina no.286 ni mwenyekiti zoezi la usaili
Jina no.300 nimke wake 291 aliomba usimamizi wa maudhui kahonga kapewa ukarani.
COPY AND PASTE
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapa pamejaa majungu na husuda tu.
Kwanini....
Hoja kwamba kamweka mke wake ni dhaifu kwa Sababu kama mke wako ana sifa na jina lilirudi kutoka nbs kwanini asipate?
Hoja kwamba kaweka wazawa nayo n dhaifu, kwasababu hayo ndo maelekezo ya NBS, zoezi lifanywe na wazawa si wageni wasojua maeneo.
Yapo mambo mtu analalamika ni kwa vile hana fursa tu but hata angepata fursa hiyo angefanya hivohivo.
NB: Ulichofanya si busara hasa hadi kufikia kutuma picha tena hadi ya mke wa mtu! Ni udhalilishaji tu, maana ungeweza kuweka hoja tu bila picha.
Kwamba ameoa wa kufanana nayr au?Kwa hiyo hao pichani ni mtu na mkewe?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa ata sura tu inaonesha wa michongo
Wanajisahaulisha baridi la Iringa.Akimnyima mkewe nafasi usiku atalala na nani [emoji23]
Shida siyo nafasi. Mke wake alipaswa kuwa karani Kwa mjibu wa PDF kutoka NBS. Sasa mwl mkuu kafanya yake amempa Msimamizi wa maudhui. Maana yake ni kwamba, wale wasimamizi wa maudhui walipendekezwa na NBS wametemeshwa... Hii ni hatari Sana Hata kama wewe unaunga mkono. Kila MTU apate alichoomba[emoji3166]Hapa pamejaa majungu na husuda tu.